Wednesday, June 27, 2012

MAKOMADO WAMELETWA WAJE KUMUUWA SHEIKH FARID NA WENZAKE ILI KUZIMA Z,BAR ISIJITENGE JE NI TANGANYIKA AU SMZ...?



WASIWASI umetanda kuwa huenda kuna watu wanataka kumuuwa Sheikh Farid.
Hiyo ni kutokana na kile kilicho ajiri hivi karibuni ambapo watu waliokuwa katika gari aliyokuwa kapanda SHEIKH FARID Ilifukuuzwa na gari nyengine hatimai gari aliyokuwa ikifukuza gari ya SHEIKH FARID ilianza kupiga risasi, lakini kwa bahati nzuri Sheikh alikuwa hayumo ndani ya gari hiyo.Wakati huo huo,mwanamke mmoja aliyekuwa akishikilia bendera ya Uamsho yenye maandishi ya Laaila hail allah,ameshushiwa kipigo kikalina polisi wa kikuria alipokataa kuachia bendera hiyo.“ amesema mwanamke Huyo polisi mmoja alikuwa akinilazimisha nimpe bendera, nikamwambia mimi hii siitoi hata kama utaniuwa, basi bora nife nayo mkononimwangu hii ina Laila hailaa allah…sikupi akaendelea kunipiga kwa kile kirungucha polisi alichokuwanacho…akanipiga tenanikaanguka chini naakawa naivuta bendera yangu tu ikawa tunanyanganyiana.”Amesema Bi Riziki akiongea na mwandishi wetu wa siri wa FREE-ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI juzi.Bi Riziki Omar Chande(42) ni mmoja wa wanawake kadhaa waliojitokeza nakueleza jinsi walivyopigwa na kudhalilishwa na polisi WA KIKURIA.Riziki Omar Chande(42) mkaazi wa Mfenesini anasema kuwa baada yakusikia kuna mhadharaDonge, yeye alitoka mapema na kwenda kupanda gari kuelekea Donge kama wenzake lakini baada yakufika Mahonda jeshi la polisi lilisimamisha msafarana kuwataka watu wote warejee mjini.Hata hivyo anasema kuwa viongozi wa msafara waliwataka wasiondoke mpaka viongozi wakuu watakapofika.Ilikuwa ni katika muda huo huo Sheikh Farid Hadi Ahmed na wenzake walifika katika eneo la Mahonda na kutaka jeshi la polisi kuacha kuhatarisha amani kutokana na kitendo chao cha kuwazuiya watuwaliokuwa wakielekea Donge kuhudhuria mkutano uliokuwa ufanyike katikaMsikiti wa Donge.Hata hivyo badala yakuwasikiliza na kujadiliananao, polisi WA KIKURIA waliwafukuza wananchi wenye haki na nchi yao ya zanzibar kwenda wanako taka kwa mabomu ya machozi na risasi za mipira na kuwapinga na virungo na kusababisha wanawake katha kumia vibaya na hata wengine bado wako hospitali pamoja na wanaume wengine pia wako hospitali.basi wanawake na wanaume wakaa anzakukimbizana na ndipo walipoamuwa kuingia msikiti wa ijumaa wa mahonda pamoja na masheikh walipoingia Msikitini.Taarifa kutoka eneo latukio zinafahamisha kuwa polisi waliwafuata huko huko Msikitini polisi hao wa kikuria walingia na viatu na kuwapinga mabomu wananchi wa zanzibar wasio na hatia na kuwatawanya kwama bomu na kuvunja vioo vya madirisha na kuchoma mazuliya ya msikiti ambapo Sheikh Farid na wenzake waliruka ukuta na kukimbia kwa miguu katika pori kutoka Mahonda kuelekea njia ya Mwangapwani.Huku nyuma,wakidhani Sheikh Farid yupo ndaniya gari alilokuja nalo, watu wasiofahamika walilifukuza gari hilo na kulipiga risasi ambapo lilipinduka nakuharibikia vibaya.“Sijui kama walitaka kutuuwa au vipi, lakini bahati mimi sikuwemo katika ile gari ingawa wanadhani kwamba ile gari ni yangu,lakini niseme mimi ile gari sio yangu ila nilipewa kwa kutumia kwa ajili ya shughuli za kuendeleza hizi harakati zetu”,alisema Sheikh Farid muda mfupi baada yakurudi katika heka heka hizo ambapo walifanya mhadhara wao Mbuyuni baada yakutokufanikiwa kupenya kwenda Donge.Akielezea juu yalio mfika Bi Riziki anasema kuwa kwa vile alikuwa kashikilia bendera,ilikuwa rahisi kwake kufuatwa na polisi.“Mimi nilikuwa nimekamata bendera yangu polisi alipokuja kunichukua akanikamata mkono ananipeleka kituoni alipofika mbele kuna polisi mwenzake akawambia unampeleka kituo kama Bi Harusi, mpige virungu,…yule polisi akajibu kwa nini tumpige wakati amekubali kutii amri halali....? hapa inatuonyesha wazi kuna polisi wa kizanzibari na hawa wa kikuria kutoka mrima Bi Riziki anaendelea kusimulia Mwenzake akasema,haiwezekani hao hawana adabu lazima apigwe, yeye ndio akaanza kunipiga huku akinambia nimpe bendera yangu ya Uamsho mimi nikamwambia nipigee lakini bedera yangu sikupi ndio akaendelea kunipiga na kunipiga”, alisema Bi Riziki.“Wakawa wanatuambia maneno ya ovyo kwamba tutakoma, kwa hivyo yule polisi mmoja akawaanaendelea kunipiga alipokuja polisi mwenzake mwengina huyu sasa pia  akamwambia unampigia nini huyo wakati yeye amekubali na unpeleke kituoni ndipo waliponichukua na kunipigatena vizuri zaidi kipigo cha kweli”.Riziki ambaye aliumiasehemu ya jicho baada yakupigwa kibao na polisi wa kikuria aliye muambia Bi Riziki kama wewe muungano hutaki sisi tunautaka alimpiga kibao na jicho lotekupiga  rangi ya wekundu, anasema kilichomshangaza nikwamba kila kituo cha polisi alipokwenda alikataliwa kupewa barua ya kwenda kupata matibabu.anaendelea kusema Bi Riziki“Tunafanywa kama sio raia wa nchi hii tulipokwenda kituo walikataa kutupa barua wakati wanajua hatuwezikutibiwa kama tumeumia mpaka tupate barua ya polisi,tulipotoka Mahonda tukaja mjini tulikwenda Kituo chaPolisi Mkunazini wakakataa kutupa kibali tukenda Malindi pia wakakata wakatuambia nyinyi nendeni tu huko huko hospitali wambieni madaktari kuwa mmepigwa na polisi …hawakutupa.”Bi Riziki ambaye aliumia mkono na jicho anasemahata walipokwenda hospitali walikataliwa kupewa tiba hadi watakapokwenda na barua ya polisi. Naye Hafsa Mohammed Mahfoudh (19) mkaazi waKinuni, Magogoni anasemakana katika zahma hizo watuwengi walikimbilia Msikitini na ndipo walipoona Polisi wakiingia Msikitini nakuwapiga wanawake nawanaume na kuwatoa nje huku wakitaka wanawake wote wavuliwe mashungi yao.“Walikuwa wakisemamaneno mabaya mabaya huku wakituvuta mashungi yetu wakitwambia tokeni hapa Waislamu, Waislamu,Waislamu nini, wanafiki wakubwa, na kuna askari wa kike alinivuta sana shungi na kunipiga sana kwa virungu pia baathi ya wanawake wengine walio ungea na mwandishi wetu wa siri wa free zanzibar people from mkoloni mweusi huko donge walisema.walivamiwa msikitini na kuanza kuvuliwa shungi zao na huku wakiambiwa maneno ya kifedhuli na polisi hao wa kikuria kutoka mrima wanao wanyanyasa wazanzibar nchini kwao wakiendelea kuhadithia wanasema kunawanawake wengine walikuwa nje ya msikiti pia nao waliburuza mpaka ndani ya msikiti na kuanza kupingwa vibaya sana yaani sasa msikiti ndio umefanywa mahali pa kupigiwa na kuteswa sisi wananchi wa zanzibar hii ni nyumba ya mwenyezi mungu wao na mabuti yao na mabuduki wanatupinga ndani ya nyumba ya mwenyezi mungu...? walihoji wanwake hao.mama moja alisema ilikuwa kama tumavamiwa na jeshi la nchi jirani ambao tunauwaduwi nao,nae mama mwengine akasema katika hali hiyo sisi watu wa donge tumechoshwa na ubaguzi na udikteta unao endelezwa hapa mkoa wetu imekuwa kama sisi sio wazanzibar hatuwezi kujumuika na wazanzibar wenzetu au donge ni nchi nyengine alihoji mama huyo huko akifuta machozi kwa kanga yake.pia waksema wakina mama hao wanataka serekali iwaeleze ni kwanini wananchi wa donge wao hawana uhuru ndani ya nchi yao kuabudu au kujumuika na wenzao..?....pia dada moja kwa jina anaitwa hafsa alisema nikweli wametupiga na marungu na magongo kweli kweli mpaka tuliporudi nyumba ilikuwa kama tuliyopingwa mawe mwili mzima asema kwa yale marungu na magongo tuliyopigia maana hata mwili wangu ulikuwa hauwezi tena na miguu haikanyagi tena wametupinga sana kwenye magoti na mwili nilifikiri sita tembea tena.baada ya wanawake hao kupewa kipingo kikali sana na jeshi hili la polisi la kikuria kutoka mrima waliwachukuwa mpaka kituwo cha polisi nakuwekwa hapo kuanzia saa tisa mpaka saa nne za usiku.ambapo walitakiwa waende nyumbani na kufika kituoni hapo asubuhi mapema siku ya pili.siku yapili walipofika walisomewa mashataka yao kuwa ati wamekusanyika katika mkusinyiko usio wa halali na pia wamevunja sheria ya kuto sikia amri ya jeshi la polisi kwa sisis free-zanzibar people from mkoloni mweusi tunasema kuwa mkusanyiko una halali na wameruhusiwa kukusanyika ila hili jeshi la kikuria kutoka tangaanyika limezoea kuwathalilisha wazanzibari.hata hivyo pia thamani ilikuwa wazi lakini wanawake hao shida kubwa iliwapata baada ya masheha kukata kutowa barua za uthamini kumbuka dungu msomaji hii ndio zanzibar na hawa ni wazanzibar wamekataliwa barua ya polisi kwenda kuona daktari,wamekataliwa na madaktari kutibiwa mpaka wawe na barua ya polisi na madaktari wanajuwa kuwa wamekataliwa hiyo barua kituo cha polisi,na sasa mpaka sheha pia hataki kutowa barua ya uthamini huu ni ushahidi tosha kuwa tunatawaliwa na wakuria na hawa masheha pia sio wazanzibari wengi wao ni hao hao jama wa mrima wameva ngozi ya kondo wakati wao ni fusi puri.nusura ya wakina mama hao na dada zetu hao ni pali wakili wa kujitegemea mzanzibari mwanakindakindaki kureshi wa zanzibar alipoingilia kati na kusema thamani ya mteja mwenyewe kwa hiyo hakuna haja ya kukoseshwa haki zao kwa kuwa hawana barua ya shena na huku kila mtu anajuwa kuwa sheha hao hawataki kutowa barua hii ni haki yao kina mama.hapa pia tunajufunza kuwa hseha hana maana yoyote ila ni jutu tu liwekwa lile bure na kufitinisha watu na kupeleka habari za ufatani kwa serekali ya tanganyika ndio kazi yao sheha wote.tusichoke wazanzibari wala tusitisheke wala tusiongopa bali ndio kwanza tushikamane na kupigania nchi yetu kwa nguvu zote watatowa tu nchi hii makaburu weusi hawa kashindwa kabaru mweupe southa africa ataweza huyu kaburu mweusi mtanganyika.sisi uzi ule ule madamu tunafuta sheria basi nasiku tukichukuwa nchi yetu kila aliyetusaliti akiwa ni mzanzibari au mtanganyika kama bado yuko zanzibar hajakimbia atafikishwa mahakamani kama watu wa na majeshi ya HITLER mpaka leo wanaendele kusakwa na wakipatika tu kokote waliko wanarudishwa ujarumani na kushtakiwa na kupiwa kifungu cha maisha wakifie jela na hawa ndivyo hivyo hivyo itakavyo kuwa hakuna cha mkuu wa mkoa wa sheha wote tutawashataki na watakwenda kinawa miguu wakamalizie maisha yao kwenye ndooo.

No comments:

Post a Comment