MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Sunday, June 17, 2012
KAITWA DODOMA KURUDI TU KAMTEUWA HUYU MKURIA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein amemteua Marina Joel Thomas kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi
WATU WATAKUPENDA NA KUKUPA MADARAKA UKIWATHALILISHA KWA KUWA WEWE ATI UNAJESHI MWISHO WAKO NDIO KAMA HUU SHEIN KIJITI NA MACHO KIJITI NA MACHO NA KIYAMA KINAKUJA UTAULIZWA YOTE WEWE NA SEIF WANANCHI WANATAKA ZANZIBAR YAO NYINYI BADO MUNABABAISHA WATU NA UTANGANYIKA HAYA HATA MWENYEZI MUNGU BASI HAMUMUOGOPA MUNAOGOPA DODOMA KULIKO MWENYEZI MUNGU NYINYI SEIF NA SHEIN.KAYAMA CHAAJA CHAAJA KIYAMA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment