wazanzibari waliokusanyika ktk muhadhara msikiti wa mbuyuni nchini zanzibar mpaka kieleweke
hawa ndio wanavidakidaki makureishi wa zanzibar wakiwa ktk muhadhara msikiti wa mbuyuni
SHEIN NA SEIF SHARRIFF HAWA NI WANANCHI WENU RAI WENU DUNGU ZENU NA HAWAUTAKI MUUNGANO NYINYI VIONGOZI BADO TU HAMUJUWI MUFANYE NINI AU MADARAKA YASHAWALIVYA...?
WAZENJI TUSIKATE TAMAA KABISA HAKUNA NCHI HATA MOJA ILIYODAI UHURU BILA KUPATA MITIHANI TUZIDI KUSHIKAMANA KWA SOTE TUTASHINDA TU
ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment