Wednesday, June 13, 2012

VIDEO-UAMSHO-KONDE PEMBA HUU SI MUUNGANO HUU NI UKOLONI

WAZENJI SOTE TUAMKE NA TUSHIKAMANE NA UAMSHO KUIKOMBOWA NCHI YETU KUTOKA KATIKA MAKUCHA,JINAMIZI,JINI,ADUWI,DUMILA KUWILI,FIRAUNI WA SASA,MAKABURU WEUSI,WANYONYAJI,MATHALIM TANGANYIKA.SOTE TUSHIKANE GUVU MOJA TULINGOWE HILI KOLONI JEUSI TANGANYIKA LINALO TUSULUBISHA ILI VIZAZI VYETU VIJE KUISHA MAISHA YA DINI NA IMANA NA HISHIMA NA UNGWANA NA HURUMA NA UKARIMU NA USHIRIKIANO NAKUAMINIYANA NA KUABUDU MOJA ALIYE WA KWELI NA WALA HAFI WALA HASINZI NA WALA HATUMSHIRIKISHI NA KITU CHOCHOTE KAMA WENGINE WANAVYO MSHIRIKISHA NA KUFANYA MACHAFU ASIYO YAPENDA SISI HATUTAKI NCHI YETU IWE HIVYO KWAHIYO TUPIGANE KWA NGUVU ZOTE NA KWA UWEZO WA MOLA TUTASHINDA TU LAKINI LAZIMA TUSHIKAMANE NA WALA TUSITENGANE KABISA WEZENJI AMKENI AMKENI UKOMBOZI NDIO HUU KILA MOJA AFANYE ATAKALOWEZA KUISAIDIA UAMSHO KUFANIKISHA UHURU WA NCHI YETU YA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment