Thursday, March 14, 2013

UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA FAIDA ZAKE


HUU NDIO MWAKA WA NCHI YA TANGANYIKA ILIPO PATA UHURU FAIDA ZA UHURU


JE MKOLONI ALIYE ONDOKA NA NYINYI WENYEWE KWA WENYEWE YUPI BORA..?

UNYAMA WA POLISI WA NCHI YA TANGANYIKA

MAFISADI WANANALINDWA NCHINI TANGANYIKA WANYONGE WANAULIWA

PIGA TEKE KANYAGA UWA POA TU WAO SI POLISI!!!

POLISI KAZI YAO NI KULINDA WATU NA MALI ZAO TANGANYIKA NA ZANZIBAR POLISI KAZI YAO NI KULINDA MAFISADI NA KUOWA WANYONGE NA KUIBA

NEEMA HIYOO UKIWA POLISI HULALI NA NJAA

HATA UWE UNAISHI MAJENGO MPOROMOKO WATAKUTAFUTA HUKO HUKO UWAPE CHAI YAO

NCHI YA TANGANYIKA IMEPATA UHURU TOKA 1961 NA MPAKA LEO WATU WANASOMA CHINI YA MITI!!!!

MITI ILIYO JAA TANGANYIKA MUMESHINDWA KUWAJENGEA WATOTO MADAWATI..?

KIKAO HICHI NI CHA KUTAKA KUJUWA SHEIKH ALI KHAMIS ALI WA KITOPE NCHINI ZANZIBAR ALIULIWA NA NANI KWA MAPANG......????????????

NJAA MBAYA JAMAA

UWONEVU,MANYANYASO,MATESO,BUGHUTHA NA POLISI MPAKA LINI NCHINI TANGANYIKA..???


JE HAWA NI POLISI WA KULINDA RAI NA MALI ZAO AU NI WA KUUWA RAI NA MALI ZAO..???
POLISI YA NCHI YA TANGANYIKA HAIKO KWA KUWALINDA MASIKINI NA WALEMAVU BALI IKO KWA JILI YA KUWATIA WATU KATIKA ULEMAVU


SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU ZIKO WAPI KATIKA NCHI YA TANGANYIKA..???

KUUWA KWAO NI JAMBO LA KAWAIDA TU POLISI WA NCHI YA TANGANYIKA

UKIKUBALI KIPIGO UKIKATA KIPIGO!!!!

JE WAO WANAFUTA SHERIA.?? JE WAO HATA WANAIJUWA SHERIA..??

ALBINO WAKIULIWA NA KUKATWAKATWA POLISI HOWA MUUKO WAPI..??

WAKISUBIRI KIPIGO CHAO KIANZE

UNYAMA WA POLISI WA NCHI YA TANGANYIKA

UNYAMA WA POLISI YA NCHI YA TANGANYIKA

UNYAMA WA POLISI WA NCHI YA TANGANYIKA

No comments:

Post a Comment