
jengo la ghorofa languka jijini dar nchini Tanganyika
hamkani zaenea jijini dar nchini Tanganyika
hii ndio kasheshe iliyo zuka nchini Tanganyika kwa kuanguka jengo la ghorofa huku raia wakishuhudia na kupiga picha

raia wakijarabu kuchimba chimba kutafuta maiti na watu ikiwa kutakuweko aliyekuwa hai
wakiendelea kuchimba na kutowa magari yaliyo angukiwa na jumba hilo la ghorofa

No comments:
Post a Comment