Tuesday, April 9, 2013

ASKOFU AKIOMBA DUWA KATIKA KABURI LA MAREHEMU MZEE KARUME!!!!


Kina Hanga( makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar) ,baada ya mapiduzi, Abdull Aziz Twala, waziri wa Fadha, Jaha Ubwa, Saleh Saadallah , Juma Ramadhani( jimmy Ringo) wana wamapnduzi. Hao ni wachache tu katika viongozi waliodhulumiwa roho zao. Jee hao mbona hawesomewi khitma au wao hawahitaji hitma ? je makaburi yao yako wapi.?? nawao pia ni wana mapinduzi au karuma tu ndie aliyepinduwa nchi..??
Na kuna wengi tu wazanzibari maarufu walo dhulumiwa roho zao. Sirikali imajitangaziya rasmi haina dini. Maanayake haiamini Mungu. Sasa mnamdanganya nani  na hitma hizi..??

No comments:

Post a Comment