Dar es Salaam. Serikali ya Tanganyika imesema inazo taarifa za kuwapo wageni wanaotafuta ardhi nchini humo Tanganyika, kwa kutumia mbinu ya kuoa au kuolewa na Watanganyika.
Hayo yalibainishwa juzi na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakati akitoa salamu kwenye tamasha la Pasaka, lililofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
“Siku hizi kuna mbinu inayotumiwa na wageni kwamba ukitaka kupata ardhi nchini kwa urahisi, basi uwoe Tanganyika (Mtanzania) au uoelewe na Tangnyika (Mtanzania). Hili hatutalikubali kamwe,” alisema Pinda(ila nyinyi kuvamia nchi ya Zanzibar ni sawa na haki kuja kuiba mashamba au sio pinda..???)
Pinda alikuwa akijibu tahadhari iliyotolewa na waandaaji wa tamasha hilo, Msama Promotions, kuhusu ugawaji ardhi kwa watu wasio Tanyikaang(Watanzania), kutokana na mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Akitoa tahadhari hiyo, Onesmo Ndegi alitahadharisha Serikali ya Tanganyika kuwa makini na suala la ardhi katika jumuiya, kwa sababu kuna raia wa nje wamekuwa wakijipenyeza na kupata ardhi nchini.
“Tunaomba ardhi itazamwe kwa jicho la ziada. Watu wanajipenyeza kinyemela wakiinyemelea ardhi yetu, tunaomba mtulindie ardhi,” alisema Ndegi.
Pia, Ndegi alishauri Serikali ya Tanganyika ipambane na kile alichokiita kikundi cha watu wachache, wanaotaka kuvuruga amani chini ya mwamvuli wa kidini kinachojipanga kwa kazi maalumu.
“Serikali ya Tanganyika imaanishe kupambana na watu hawa, nasi tuone matokeo na tutaipongeza. Viongozi wa dini tunawaombea,” alisema Ndegi.
Hata hivyo, Pinda alisema Serikali Tanganyika ina macho ya ziada kwa suala la ardhi na kwamba, hakuna mgeni anayeweza kupewa ardhi kwa njia za ujanjaujanja isipokuwa kwa mujibu wa sheria zilizowekwa.
WAZANZIBARI WAONENI HAWA WANAVYO JUWA KUITETEA ARDHI NA NCHI YAO SISI WAUZA DAWA ZA KIENYEJI NA VINYAGO MPE SHAMBA MUZA BAR MPE ARDHI WAUZA DAWA ZA PANYA MPE KONDE TUTA AMKA LINI WAZANZIBARI...???
No comments:
Post a Comment