Wednesday, April 3, 2013

JE AIR PORT YA AMANI KARUME NCHINI ZANZIBAR NI SALAMA KWA WAZANZIBARI WAISHIO NCHI ZA NJE..????


JIONE MWENYEWE AIR PORT ZA NCHI ZA WENZETU BEGI LINANGALIWA KWA KOMPUTA NA KUKAGULIWA NA KILA KITU KWELI HAWA WASIONE UNGA(DRUGS) NA WAKURUHUSU URUKE NCHINI KWAO KISHA UKITUWA ZENJI NDIO UWONEKANE..???


NDUGU ZANGU WA KIZANZIBAR WANAO ISHI NCHI ZA NJE (ULAYA)(ARABUNI) TUNAWATAHATHARISHENI SANA NA UWANJA WA NDEGE WA AMANI KARUME AIR PORT, KUNA MBINU CHAFU HUFANYWA NA WAHUSIKA WA FOROZA HAPO.
KUNA KESI ZIMEJITOKEZA ZA MALALAMIKO YA ABIRIA KUTILIWA VUMBI LA UNGA WA (DRUGS) AU BANGI NA KUBAMBIKIZIWA KESI KUWA WAMEINGIZA UNGA NCHINI NA HAPO TENA HUWEZI KUJITETEA MANA NI MPANGO NA WAPANGAJI HUTUMIA VYEO VYAO NA KAZI ZAO ILI KUKUBAMBIKIZIA BALAA.
WAKISHAKUBAMBIKIA HUKWAMBIA BAADA YA KUKUZONGA SANA NA KUKUHOJI SANA KUWA HUWEZI KULIEPUKA HILI ,KWA HIO ZUNGUMZA TUFAHAMIANE UTOKE SALAMA AU UTAISHIA KINUWA MIGUU.
SASA MASKINI UTAKUWA HUNA JINSI YOYOTE YA KUJITETEA HATA HAKUNA WAKUKUSIKILIZA MAANA NI MIPANGO MZIMA WA MAOFISA WA HAPO KWA KUTUMIA VYEO VYAO ILI KUKUBINYA NA KUKUTISHA ILI WAPATE WANANCHOTAKA.(PESA)(MONEY)(JULUKU)(MAPENI)(HELAA)
INABIDI WAKUKAMUE BILA KUWA NA HURUMA WALA IMANI MAANA WAO WENYEWE SIO WAZENJI NI MITWANA YA KUTOKA NCHI YA TANGANYIKA KWA HIYO WANATAKA KUWAKOMOENI NYINYI DUNGU ZETU WAKUTOKA HUKO NCHI ZA NJE.
MIMI NA KILA MOJA TUNASHANGAA SANA KUWA NDUGU ZETU KUTOKA NJE TUSEME MFANO UENGEREZA,MAREKANI,CANADA AU UARABUNI VIPI UTAINGIZA UNGA (DRUGS) NA BANGI  KUTOKA NCHI HIZO NILIZO ZITAJA HALIYAKUWA KUNA ULINZI WA HALI YA JUU KATIKA AIR PORT ZAO NA HATA KUTUMIA WANYAMA KAMA MBWA KWA JILI YA  KUVUTA HARUFU NA MAKAMERA YA KILA AINA ILI KUHAKIKISHA KUWA HAKUNA MAGENDO,SILAHA NA MADAWA YA KULEVYA SASA WAO HAWAKUONA ILA UKIFIKA HAPA NYUMBANI NDIO WAO WAONE NI VICHEKESHO.
HII YOTE NI TAMAA TULIO NAYO WAZANZIBARI WACHACHE WALIOWEKWA HAPA AIR PORT WAKISHIRIKIANA NA WATANGNYIKA ILI KUWAKOMOWA NDUGU ZAO WENYEWE WANAO ISHII NCHI ZA NJE HII KWA MIMI NAONA NI KUPOTEZA IMANI NA KUTOKUZIWEZA NJAA ZAO WATU HAWA.
VITENDO HIVI VINAFANYWA KWA MAKUSUNDI KUWATISHA DUNGU ZETU WAISHIO NCHI ZA NJE ILI WASITAMANI KUJA NYUMBANI NA KUENDELE KUBAKIA UGENINI. WAKIKOSA MZANZIBARI BASI HATA MGENI YA MTALI WATAMBAMBIKIA HII NI KUWAKIMBIZA WAGENI YANI WATALI KUJA NCHINI KWETU ZANZIBAR KWA KUWATIA UWOGA NA KUWASUMBUA VINAFANYWA KWA MAKUSIDI MAANA WAMEONA ZANZIBAR INAZIDI KUPENDWA NA WATALI BASI NDIO WANAITIA JINA BAYA HIVYO.MAOFISA WA KUTOKA NCHI YA TANGANYIKA WALIO AJIRIWA HAPA NCHINI ZANZIBAR WANATAKA KUFANYA MBINU HIZI ZA KUVURUGA,KUUCHAFUWA NA KUIPA JINA BAYA AIR PORT AU UWANJA WA NDEGE WA NCHI YETU YA ZANZIBAR.
HIVI SASA ZANZIBAR INA TISHA KWA FITNA,CHUKI,HUSDA NA ZAIDI NI KUONEYANA CHOYO AJABU YA MUNGU NI HATARI HASWA TUSIPO PENDANA WAZANZIBARI HATUTA ENDELEA MAISHA LAZIMA TUPENDANE TUSAIDIYANE TUFURAHI TUKIONA DUNGU YETU KATOKA NCHI ZA NJE SIO SISI NDIO TUNAMLENGESHA KWA MACHOGO WALIO AIR PORT WAMALIZE YEYE MWENYEWE HUKO ATOKAKO YUMAJI ANGALAU ANATAMANI AJE NYUMBANI APUMZIKE SISI TUNAMTILIA FITNA NA KUMTISHA NA KUMNYANGANYA HIVYO VICHOKOLETI VIWILI ALIVYO KUJA NAVYO TUMEKOSA IMANI KABISA HATARI HASWA. YANI DUNGU YAKO ANAKUJA WEWE UNAMTILIA FITNA NA KUPOTEZWA HIVI HIVI TU KWA FITNA NA CHOYO CHAKO NA  KUMBAMBIKIZIYA KESI YA KUUNDA UNDAA TU.
HEBU TUWE NA IMANI NA UPENDO NA TUTOSHEKE NA TULICHO NACHO M/MUNGU ATATIA BARAKA ILA TUKIENDELE HIVI KUNYANGANYA NA KUSINGIZIA MTU WALA HANA KOSA TUTAKUWA MASIKINI DAIMA NA MWISHO WAKE NI MBAYA SANA HEBU TUBADILIKENI NA HAWA MAOFISA WA KIBARA SIWAENDE TANGANYIKA PIA KUNA MAA AIR PORT KULE WAKAFANYE KAZI KWANI LAZIMA HAPA ZANZIBAR...???

No comments:

Post a Comment