Sunday, April 17, 2016

VIDEO-UKWELI KUHUSU UTUMWA WA ZANZIBAR NA KUANZIA 1964 WAZANZIBARI TUMEKUWA WATUMWA WA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MPAKA LEO HII 2016 BADO NI WATUMWA


KUANZIA SIKU HII NCHI YA ZANZIBAR IMEKUWA MTUMWA WA NCHI YA TANGANYIKA MKOLONI MWEUSI HADI HII LEO BADO WAZANZIBARI NI WATUMWA WA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA TOKA TOKA TOKA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA TOKA TOKA TOKA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA TOKA TOKA TOKA
Ukweli kuhusu Utumwa- Zanzibar,( Unguja na Pemba).
Nimeamua kuandika post hii baada ya kusoma post ambayo imeandikwa na PASCO mmoja wa wanajamvi maarufu katika mtandao wa JF.
Post yake ilikuwa na kichwa cha habari kama ifuatavyo:-
UDHALIMU WA WAARABU ZANZIBAR NA PEMBA KWA NDUGU ZETU WALI-TESWA-HASIWA-WALIBAKWA.
Hoja ya Pasco ilitegemea sana report ya commissioner Donald Mackenzie iliotolewa London mwaka 1895.
A report on slavery and slave trade in Zanzibar, Pemba.
Ambayo ilitayarishawa na The British and Sovereign Ant-Slave Society.
Ukweli wa Mambo.
Ikiwa kweli kisingizio cha mavamizi ya Zanzibar ni utumwa basi utumwa ulikuwepo nchi zote duniani, si Zanzibar tu.
Waliofanya biashara za utumwa ni watu wa kabila zote na dini zote, hata Wapagani wa kiafirika.
Lakini waliotia fora kwa ukatili na ukhabithi mkubwa katika biashara ya utumwa ni mataifa ya kizungu na khasa Waingezera na Wamarekani.
Leo wana uso wa kujigamba na kujidai kama eti wao ndio walio ondosha utumwa?
Ushahidi.
1. Sayyid Said bin Sultan alipiga marufuku biashara ya watumwa baina ya mamlaka zake na mataifa yote ya kikristo mwaka 1822.
2. Pia alizuwia kusafirisha watumwa kutoka Afrika kwenda Oman katika mwaka 1845.
3. Sayyid Barghash alipiga marufuku biashara ya watumwa katika mwaka 1872 na akalifunga soko la watumwa lililokuwepo Mkunazini, Zanzibar.
4. Dola za kizungu zilipiga marufuku biashara ya watumwa kwa hiyo inayoitwa Brussels Act katika mwaka 1890 (yaani Zanzibar iliutangulia ulimwengu mzima kwa miaka kumi na nane (18) katika kupiga marufuku biashara ya watumwa)
5. Sayyid Hamoud ambaye pia nae alikuwa Sultan wa Zanzibar alipiga marufuku kabisa utumwa wenyewe katika mwaka 1897 (yaani mwaka huo hapakuwa na mtu yeyote mtumwa katika mamlaka ya Zanzibar).
6. Waingereza walipiga marufuku utumwa Kenya mwaka 1912 (yaani miaka miaka 15 baada ya Zanzibar).
Katika Tanganyika Wajerumani waliendelea na utumwa kwa muda wote waliotawala na baada ya hapo Waingereza waliendeleza utumwa katika Tanganyika mpaka mwaka 1920 (yaani kwa muda wa miaka 23 baada ya Zanzibar).
Huu ndugu zangu ndio ukweli.
Utumwa khasa ulifanywa na wazungu sio waarabu.
Mwisho:
Katika nchi yetu ya Zanzibar sasa tumebaki Na Ukoloni mweusi kutoka Tanganyika licha ya kuwa tunajinata Na kujigamba na kujidanganya kwamba tumejikomboa ili tujitawale ni uwongo mtupu wazanzibari haswa hatujajikombowa walio jikombowa ni Watanganyika walio ishi hapa nchini Zanzibar na kufanya kazi hapa kabla ya nchi yetu Zanzibar kupata uhuru wake 1963 baada tu kupata uhuru wake muda wa mwezi moja tu Wazanzibari Tukapinduliwa na kuwa Watumwa na Koloni la Mkoloni Mweusi Tanganyika hadi hii leo 2016 tuko chini ya ulinzi wa jeshi la Mkoloni Mweusi Tanganyika, lakini hao wanaoropokwa kuwa Zanzibar ni nchi ilio huru inaonekana wazi kwamba wamelevya Na maslahi yao binafsi ya kupewa Uraisi feki,Umakamo feki,Mawaziri feki,Shaha n.k. Na wengine pangu pakavu tia mchuzi hawana kazi hawana bazi wao ni bendera ipepee tu japo wale dongo wanapelekwa na kasumba ya uafrika na uwarabu wakati hao hao viongozi wanao watia hizo kasumba wananyumba nchi za kiarabu wanaowa waarabu wanafanya biashara na waarabu.
KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KATUPINDUWA TENA WAZANZIBARI NA KUWEKA VIONGOZI WAWATAKAO WAO WAKINA BT TUNAENDELEA TENA KUKA CHINI YA SERIKALI YA KIKOLONI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MPAKA MIAKA MITANO IMALIZIKE KISHA TUTIWE TENA KATIKA SHENGESHA LA UCHAGUZI NA KUPIGA KURA KISHA WAZANZIBARI WAPIGE KURA NA KUCHAGUWA VIONGOZI WAWATAKAO MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ATAKUJA NA STYLE MPYA YA KUZIPIGA KURA ZA WAZANZIBARI CHINI NA KUTUEKEA VIONGOZI WAWATAKAO KISHA TUTAKA TENA CHINI NA KUSUBIRI UCHAGUZI WA 2025 MAMBO YATAKUWA HIVYO HIVYO KISHA TUTAKA CHINA NA KUSUBIRI UCHAGU WA WA 2030 TUKIWA HAI KAMA HATUKO TENA WATAKAO BAKI WATAFANYIWA TENA HIVYO HIVYO NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KISHA WATAKA CHINI WASUBIRI......>>> MPAKA KIYAMA KISIMAME BASI NI BORA TU TUKUBALI KUWA NDIO TUMEKUBALI KUWA CHINI YA MKONI MWEUSI TANGANYIKA KULIKO UPUMBAVU HUU WA UCHAGUZI AMBAO KILA MOJA WETU HAPA ZANZIBAR KAMA UCHAGUZI WA MARA HII HAUJAWASOMESHA WALA HATUTA SOMA TENA MILELE. 

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment