WAZANZIBARI TUMEPINDULIWA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA TOKA TOKA TOKA
CUF wameturoga.
Kuna usiri mkubwa ndani ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Lakini pamoja na usiri huo leo kuna jambo lililokuwa limefichwa Mwenyezi Mungu amelileta hadharani, kumbe wawakilishi wanaoaminishwa kuwa ni halali wana madhila yanawapata barazani huko.
Leo Mwakilishi wa viti Maalum wanawake bibi Mwanaidi Kassim Mussa alipelekwa uwanja wa ndege Zanzibar kwa ajili ya kusafirishwa Dar es Salaam huko nchini Tanganyika kwa Mkoloni Mweusi kwa matibabu njia nzima alikuwa akipiga kelele kwamba, “CUF wameturoga, CUF wameturoga, CUF wameturoga kila siku tafrani barazani, juzi wenzangu wawili wamepandisha shetani na baadae kuanguka, leo mimi hali ndio hii,CUF wachawi si utaki tena uwakilishi” alimalizia.
Alipoingizwa ndani uwanjawandege hapo hapo akazimia, amesafirishwa saa nane mchana huu kuelekea Dar kwa ndege ya “AURIC AIR”.
Mungu amjaalie apone arudi kuwatumikia waliomtuma katika uharamu wao au atubu na atete haki.
KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KATUPINDUWA TENA WAZANZIBARI NA KUWEKA VIONGOZI WAWATAKAO WAO WAKINA BT TUNAENDELEA TENA KUKA CHENI YA SERIKALI YA KIKOLONI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MPAKA MIAKA MITANO IMALIZIKE KISHA TUTIWE TENA KATIKA SHENGESHA LA UCHAGUZI NA KUPIGA KURA KISHA WAZANZIBARI WAPIGE KURA NA KUCHAGUWA VIONGOZI WAWATAKAO MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ATAKUJA NA STYLE MPYA YA KUZIPIGA KURA ZA WAZANZIBARI CHINI NA KUTUEKEA VIONGOZI WAWATAKAO KISHA TUTAKA TENA CHINI NA KUSUBIRI UCHAGUZI WA 2025 MAMBO YATAKUWA HIVYO HIVYO KISHA TUTAKA CHINA NA KUSUBIRI UCHAGU WA WA 2030 TUKIWA HAI KAMA HATUKO TENA WATAKAO BAKI WATAFANYIWA TENA HIVYO HIVYO NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KISHA WATAKA CHINI WASUBIRI......>>> MPAKA KIYAMA KISIMAME BASI NI BORA TU TUKUBALI KUWA NDIO TUMEKUBALI KUWA CHINI YA MKONI MWEUSI TANGANYIKA KULIKO UPUMBAVU HUU WA UCHAGUZI AMBAO KILA MOJA WETU HAPA ZANZIBAR KAMA UCHAGUZI WA MARA HII HAUJAWASOMESHA WALA HATUTA SOMA TENA MILELE.
No comments:
Post a Comment