Saturday, April 2, 2016

VIDEO-VIKOSI VYA SMZ,CCM MAHARAMIA,MAZOMBI WASHIRIKIANA KUFANYA JINAI TUMBATU

12928282_985651144852697_1351819792506437203_n
VIKOSI VYA HAJI OMARI KHERI VYAONYESHA UBABE NYUMBANI KWAO TUMBATU.
Watu wanaojuilikana kuwa ni vikosi vya Serikali ya Zanzibar na wafuasi wa CCM ingawa hujifunika nyuso zao usiku wa Jana walivamia kisiwa cha Tumbatu nchini Zanzibar na kuchoma moto nyumba nyingi na kuharibu mali za watu wanaotambulika kuwa ni wafuasi wa Chama cha CUF. Hivi tukiripoti habari hii familia nyingi za wananchi wa kisiwa hicho hawana sehemu za kukaa na wengi wanahifadhiwa na jamaa zao.
Usiku huohuo wa Jana nyumba pia nyingi zilitiwa alama ya “X” huku mazombi hao wakisikika kuwa watarudi tena kuzichoma nyumba hizo pia. Haya yanafanyika huku polisi wa Mkoloni Mweusi Tanganyika nchini Zanzibar ikionekana kutochukuwa hatua zozote mwafaka kuzuwia vitendo hivi. Huu ni mwendelezo wa unyanyasaji unaondelea hapa nchini Zanzibar unaofanywa na Serikali haramu ya Zanzibar ambayo imepewa baraka zote na DIKTETA JOHN POMBE MAGUFULI mkoloni mpya wa nchi ya Zanzibar. Tunafanya utaratibu wa kupiga harambee ya kuwachangia ndugu zetu hawa waliofikwa na maafa haya tujue tutawasaidiaje, tutakujulisheni zaidi.12936523_1000939579943912_8560781847968566737_n12931225_1000939599943910_6138834898719193778_n12920351_1000939553277248_3473449385206909910_n12919793_1000939666610570_252618955906985575_n12920316_1000939523277251_5351493469652537764_n12472326_1000939506610586_1686162265492304649_n12920347_985651101519368_633415751803658526_n12376687_985651071519371_6447108003340187070_n941339_1000939619943908_1087396293876170278_nKISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment