Kijana wa nchi ya zanzibar akipata kichapo kutoka kwa jeshi la polisi la kikuria la kutoka nchi jirani ya tanganyika jeshi hili la kikuria kutoka tanganyika liko nchini zanzibar kwa muda wa miaka 48 sasa na wazanzibar hawatakitena kutawaliwa na wakuria wakutoka bara wanadai nchi yao na hawa wakuria wanawapiga na kuwanyanyasa wakuria wakitanganyika wamekuwa MAKABURU WA 2012 NDANI YA NCHI YA ZANZIBAR JE SHEIN HAWA WATACHUKULIWA HATUWA ZA KINITHAMU..? kwa kuwapiga rai wema au ndio basi yashakwisha.imethabitika kuwa kijana huyu alikuwa akipita tu na shughuli zake wao wamefunga njia maeneo ya barabara ya Amani na Magomeni Zanzibar ndipo walipomshika na kupiga na kupigisha vichura ZIKO WAPI HAKI ZA BINADAMU DR SHEIN...?
MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment