Monday, May 28, 2012

WAZENJI WASHIKWA NA KUPELEKWA MAHAKAMANI NA VIJANA WAWILI WAULIWA NA JESHI LA KIKURIA NCHINI ZANZIBAR


HILI NI JESHI LA KIKURIAKUTOKA NCHI YA TANGANYIKA LIKIWAPINGA VIJANA WAZALIWA WA KIZANZIBAR KWA KUDAI NCHI YAO KUWA HURU NA KUACHIWA KIONGOZI WAO ALIYESHIKWA USIKU NA WAKURIA HAWA
 Zanzibar leo hii imejikuta ikirejea kule ilipotoka baada ya matukio ya majeshi ya kikuria kuanza kuwakamata viongozi wa ukombozi wa watu wa zanzibar mamboyameanzakujitokeza kwa mara nyengine tena ambapo jeshi la polisi kwa wamekuwa wakifanya vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu. Vijana wenye hasira wamechoma moto matairi barabarani na kudai zanzibar huru lakini  Polisi wa kikuria kutoka tanganyika nao wamekuwa wakiwakamata vijana hao na kuwapiga kwa marungu na mateke jambo ambalo ni kinyume na haki za binaadamu ambapo Tanzania imeridhia azimio la umoja wa mataifa la kuheshimu haki hizo.
JUMLA ya watu 30 wakiwemo wanaodaiwa kuwa viongozi wawili wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar, leo walifikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali na kusomewa mashitaka ya uzembe, uzururaji na uvunjifu wa amani.

Shitaka jengine walilosomewa mahakamani chini ya Hakimu Mohammed Ali Mohammed Shein hapo ni pamoja na kufanya mkusanyiko usivyo halali ambapo Mbarouk Said Khalfan (45) Mkaazi wa Taveta Meli nne na Mussa Juma Issa (57) Mkaazi wa Makadara wote wakaazi wa Mjini Zanzibar.

Washtakiwa hao ambao walisomewa mashtaka matatu ikiwemo kufanya mkusanyiko isivyo halali, uzembe na ukorofi pamoja kufanya kitendo kinachoweza kuleta uvunjifu wa aman, walifikishwa mahakamani hapo wakiwa chini ya ulinzi mkali wa askari Polisi.

Viongozi hao kwa pamoja walisomewa mashitaka ya kujikusanya na kufanya maandamano kinyume na sheria kifungu 55 (1)(2)(3)  sheria nambari 6 ya mwaka 2004. ambapo Hakimu Shein alisema mahakamani hapo kwamba mnamo Mei 26 mwaka huu majira ya saa 6:30 za  mchana viongozi hao walijikusanya kinyume na sheria za Zanzibar.

Hakimu huyo alisema wananchi hao walifanya maandamano ambayo yalianzia katika uwanja wa Lumumba kupitia Msikiti wa Biziredi na kumalizia uwanja wa Lumumba, ambalo ni kosa kwa vile linaweza kuhatarisha amani na utulivu na kuweza kusababisha
uharibifu wa mali za wananchi wa Zanzibar.

Mbali ya viongozi hao wanaodaiwa wa Uamsho wengine walijumuisha katika kesi hiyo ni Mbwana Hamadi Juma (50) Mkaazi wa Nyerere, Masoud Hamadi Mohammed (17) Mkaazi wa Mtoni Kidatu, Mohammed Juma Salum (35) Mkaazi wa Kianga na Abdulrahman Simai Khatib (19) Mkaazi wa Mbweni.

Wengine ni Hashim Juma Issa (54) Mkaazi wa Mbweni Matar Fadhil Issa (54) Mkaazi wa Mbweni, walifikishwa katika kizimba cha mahakama ya hakimu Mdhamini Janet Nora Sekihola kujibu shitaka la  uzembe na ukorofi kinyume na kifungu cha 181 (d) cha kanuni ya adhabu sheria namba 6/2004 sheria za Zanzibar.
Watuhumiwa wengine walifikishwa katika mahakama ya hakimu Omar Mcha Hamza na Valentine Andrew Katema, wakikabiliwa na mashitaka ya kufanya kitendo kinachoweza kuleta uvunjifu wa amani, ambao walishitakiwa chini ya kifungu cha 74 (1) (b) cha sheria namba 6/2004 sheria za Zanzibar.
Mashitaka yote hayo yaliwasilishwa kwa nyakati tofauti na waendesha Mashitaka, Wanasheria wa serikali Mohammed Kassim Hassan, Suleiman Haji Hassan pamoja na Ramadhan Abdallah, kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka Zanzibar (DPP).
Katika mahakama ya hakimu Mohammed Ali Mohammed, Mwendesha Mashitaka Mohammed Kassim alidai kuwa watuhumiwa Mbarouk Said na Mussa Juma, bila ya halali walipatikana wakiandamana kupitia katika maeneo mbali mbali ya manispaa ya mji wa Zanzibar, kitendo ambacho kingeweza kuleta uvunjifu wa amani.
Watuhumiwa hao wote kwa pamoja walikana makosa hayo na kupewa dhamana ya masharti ya shilingi 300,000 kila mmoja ambapo walitimiza masharti hayo na wapo nje ya dhamana hadi Juni 16 mwaka huu, kwa kesi hiyo kutajwa.
Awali mahakamani hapo vikosi vya ulinzi na usalama walionekana kujipanga imara na kuhakikisha usalama umedhibitiwa wakati wote wa uendeshaji wa kesi hiyo ambapo maeneo yote ya Mahakama ya Mwanakwerekwe yaliimarishwa ulinzi ndani na nje ya eneo hilo.

Mamia ya wananchi walifika katika eneo la mahakama hiyo na kuja kusikiliza kesi hiyo lakini waliishia nje ya mahakama hiyo kutokana na ulinzi uliozunguka katika eneo hilo mwanzo hadi mwisho wa kesi hiyo.

Licha ya watu hao 30 kufikishwa mahakamani leo lakini hali ya amani bado haijatengeneza kutokana na baadhi ya maeneo kurushwa mabomu ya machozi na watu kadhaa kutawanywa katika maeneo ya Mwanakwerekwe, Darajabovu, Amani na Mikunguni muda mfupi baada ya wananchi kutoka katika eneo la mahakama hiyo.Askari kutoka Tanganyika-Wakristo ni magaidi na maharamia wauwaji hatari, leo wamesababisha vurugu kubwa baada ya kuupiga mabomu na kuuharibu Msikiti mpya wa ghorofa (Omar Ibm Khatwab) uliopo Msumbiji upande wa kushoto kama unatoka Kwerekwe kwendea Amani yaani karibu na Skuli ya msingi ya Nyerere, Msikiti huu wameuvunja vioo na milango kwa mabomu tena basi waliukuta umefungwa wakati huo, baada ya uonevu huu vijana wabichi damu ikiwachemka zaidi na zaidi. Dhima za lawama bado zinarudi kwa Uongozi wa Kanisa na CCM na Borafya Mtumwa Borafya na kina Juma Faki kwa kuwakusanya vijana wa CCM usiku na kulichoma Kanisa la Kariakoo ili waonekane UAMSHO ni wabaya na wanaudini lakini bahari haikai uchafu ushahidi Mungu kashaanza kuuweka wazi. Moh’d Aboud usiwe na haraka usiwe na haraka Wazanzibari wenzako watauliwa tu na Watanganyika,n.k madhali ni Waislamu na Mafuta yapo. Lakini kama si hapa duniani basi soon baada ya kufa na nyinyi mtaonja joto ya jiwe. Haya yote waandishi wa habari wa Tanganyika na vibaraka wao ZBC hawajayaona wameliona KANISA tu. lakini msikiti ulio vunjwa milango na vioo vya madirisha hawajauonyesha kabisa. Pia ndugu zangu kunataarifa za vijana wawili wameuliwa na polisi wa kikuria hapa nchini kwetu zanzibar na kuzikwa kwa kisingizio cha kutaka kuchoma Transformer. Hii vipi Jamani?

No comments:

Post a Comment