Tuesday, May 29, 2012

WAZANZIBAR WAPINGWA MABOMO NA ASKARI POLISI WA KIKURIA WALIOJAZWA ZANZIBAR KUTOKEA NCHI JIRANI TANGANYIKA

A
HAWA NI WAZANZIBAR WALIO ANDAMANA KUDAI NCHI YAO BAADA YA MANDAMANO HAYA USIKUWAKE JESHI LA POLISI WA KIKURIA LILIANZA KUWAKAMATA VIONGOZI WA UKOMBOZI WA ZANZIBAR NA KUWATIA VIZUIZINI NDIO FUJO LILIPO ANZA MAANA JESHI LA KIKURIA LIMESHAZOE KUKAMATA KAMATA NA KUWAFUNGA WATU WASIO NA HATIA ILA MWAKA HUU KITAELEWEKA TUU
HATUUTAKI MUUNGANO
MAANDAMANO YALIKUWA YA AMANI KABISA
WANAWAKE NA WATOTO MSTARI WA MBELE
WAKINA MAMA NA DADA ZETU PIA WAMETUUNGA MKONO KUWA MUUNGANO BASI
HATUUTAKI MUUNGANO-MSITULAZIMISHE
WANAWAKE NA WATOTO MSTARI WA MBELE
HATUUTAKI MUUNGANO-TUACHIWE TUPUMUEE.
USIKU ULIPOINGIA TU JESHI LA POLISI LA WAKURIA KUTOKA TANGANYIKA LIKAANZA KUKAMATA WATU MAJUMBANI KAMA WALIVYO ZUWEA KUFANYA HIVYO MIAKA YA NYUMA NA KUPIGA MABOMU KILA WANAPO ONA MKUSANYIKO WA WATU KAMA VILE KARATA,BAO,ZUMNA,NK
HATUUTAKI MUUNGANO-TUACHIWE TUPUMUEE.
MABAKI YA MABOMO YALIYOPIGWA NA WANAJESHI POLISI WA KIKURIA THAIDI YA RAI WEMA WA NCHI YA ZANZIBAR JE HUU SIO UKABURU WEUSI WA KITANGANYIKA..?
MADHAALIM WA TANGANYIKA
ASKARI WA KIKURIA KUTOKA NCHI YA TANGANYIKA AKIWAPIGA MABOMU WANANCHI WA ZANZIBAR JE HUU SIO UKABURU MWEUSI HUU..?

1 comment:

  1. tunawalea tu nyie mapimbi wa kizanzibari msiojua maana ya urafiki ni nini, lakini ipo siku mtatamani muungano baada ya zanzibar kuwa pemba na unguja huku mkilipuana wenyewe kwa wenyewe. kwanza matakiwa mjue hatuwafagilii wala nini sababu mnaasili ya kigaidi kwa hiyo kama vipi jitengeni tu alaaa,,,,,,,,,,,,

    ReplyDelete