WATU WA ZANZIBAR
WANAOTAKA ZANZIBAR YAO HURU WANYOONSHE MIKONO!!!
MUNAUTAKA HAMUTAKI MUNAUTAKA HAMUTAKI MUNAUTAKA AU HAMUTAKI TANGANYIKA WATUWACHIEE TUPUMUWEEEEEEE
KIKWETTE WAZANZIBAR HAO HAWAUTAKI MUUNGANO NA WEWE ULISHADIDIA KUJITENGA KWA SOUTHSUDAN NAUKAENDA KUWAPONGEZA KWA KUWA NA NCHI YAO MPYA MBONA WEWE BADO UNATAKA KUENDELEZA UKOLONI MWEUSI THAIDI YA ZANZIBAR MBONA WEWE BADO NI KABURU KWA WAZANZIBAR KAMA ITV HAIKUONYESHI BASI HATA MITANDAONI HUFUNGUWI UKASOMA AU YOUTUBE UKAONA JINSI WAZANZIBAR WANAVYO DAI NCHI YAO NA WEWE NDIO UNAJITA RAISI WA DIMOKRASI IPE UHURU ZANZIBAR UONYESHE UDIMOKRASI WAKO AU ENDELEA KUWAPUUZA KISHA UTAYAONA MATOKEO HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA PIA M/MUNGU ANAKUNGOJEA
No comments:
Post a Comment