masikini benti ajaibu languka kama banda la njiwa
moja katika faida za dr kumbi shein ndio hizi
dr kumbi shein ni mchwaa anaila zanzibar na kila kilicho ndani ya zanzibar mpaka avimalize
ccm oyeeee ccm oyeee ccm oyeeee maendeleo oyeee maendeleo oyeee
kidumu chama cha mathalim mpaka kidumikeeeeeeee
maendeleo hayooo yanaletwa na dr kumbi shein wananchi msijali ndio maendeleo hayoo yanaigia taratibu
No comments:
Post a Comment