Wanaotaka tuendelee na Muungano huu,wasubiri Kubatizwa na Kusulubiwe na kanisa Katoliki.
Kwa upande wa Tanganyika waislamu hawana nguvu zaidi ya Kanisa na wamefunikwa na kuzibitiwa na kusalitiwa na Baraza la Wanafiki wa Kislamu BAKWATA.
ndio maana ukawaona Wakristo wametowa takumu fake ya kusema wao ndio wengi kwa hio nilazima serekali na sensa ijuwe hivyo ili kupangiwa bajeti maalumu.
Kwa Upande wa Zanzibar tunakwenda huko huko kuzidiwa nguvu na ishara nyingi zipo za viongozi wetu wa smz kupiga magoti kwa kanisa na kuwazibiti waislamu kila ucheo alimuradi yeye ni raisi,makamo wa raisi,mbuge,waziri,amiri jeshi mkuu,kamishna n.k. basi wako tayari hata kuuwa ndugu zao wa zanzibar kwa vyeo tu.
Wasemao kuwa kanisa halina nguvu zanzibar wanajidanganya tena sana, angalia sala za Jumapili watu huanza safari tokea Jumamosi kuja kutia wingi Zanzibar ,Mbaali na mmiminiko uloko zanzibar bila kujulikana ni wangapi.
Hizi zote ni agenda kabambe za zamani kwa mategemeo ya baadae chini ya wanafiki wetu Smz na hivi sasa kuna kampeni za chini kwa chini , kwanza kila katika watoto 30 wazaliwao Zanzibar katika hospitali ya mwembe ladu Basi Wazanzibar ni watoto 6 tu walio baki utajaza wewe.
Jengine ni Kanisa kusaidia miradi midogo midogo kwa watu wenye asili ya Tanganyika hata kama sio Mumini wao kidini, hii ni kuangalia kuwa focus yao ni kuwa Watanganyika wa zanzibar wote chama ni CCM na lengo ni kulinda Muungano na kufanya Shughuli zao bila kero kwa mgongo wa chama kuwalinda.
Hivi sasa wengi wao wameshafanikiwa kuwa na Zanzibar ID na kukabidhiwa haki zote na fursa zote ambazo hata Mzanzibari mwenyewe hana na hata ukiangalia watendaji wakuu wa Serekali ulimwenguni sio Rais na mawaziri , niwakurugenzi na wahasibu.
Sasa angalia wahasibu je ni Wazanzibar...? jibu ni....?Wakurugenzi je ni Wazanzibari jibu ni...? na Majaji je ni Wazanzibari jibu pia tena litakuwa ni....? je bado tu mzanzibari hujaa amka kuwa hatuna tena zanzibar imebaki jina tu. hebu wangaliye wote hao niliyo wataja hapo juu hapa nchini Zanzibar utajuwa ni watu wenye asili gani..?
No comments:
Post a Comment