Saturday, June 8, 2013

GAZETI LA WARIOBA TUSHALISOMA JE WAZANZIBARI TUNATAKA GAZETI LA WARIOBA AU TUNATAKA NCHI YETU..?? SAFARI YA MAMLAKA KAMILI INAENDELEA

k.maiti2
Haya haya wazanzibari!!! Kumekucha!!! La mgambo likilia kuna  jambo!!! Chama cha wananchi CUF kinawatangazia wanachama, wapenzi na wazanzibari wote wa mikoa mitatu ya Unguja, wazalendo na wapenda nchi yao ya Zanzibar kwa jumla kuhudhuria kwa wingi katika mkutano  mkubwa wa hadhara utakaofanyika kesho  Jumapili  tarehe 09/06/2013 Matemwe katika viwanja vya mpira vya  jimbo la Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.  Mgeni rasmi katika Mkutano huo ni Simba wa nyika, tishio la vibaraka wauza nchi yetu ya Zanzibar,muarbani wa wahafidha, kipenzi cha Wazanzibari, mwenye  uzalendo wa hali ya juu na mapenzi makubwa kwa Zanzibar na Wazanzibari, Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.  Mkutano utaanza saa 8:00 barabara za mchana mpaka saa 12:00 jioni.
Agenda kuu katika mkutano ni jee safari ya kuelekea mamlaka kamili imefikia wapi..?? ni jinsi gani Wazanzibari wanavyopaswa kujipanga kutoka katika hatua ya sasa na kusonga mbele na safari baada ya gazeti la Warioba kutoka...???  Jee hapo ndio mwisho wa safari yetu ya mamlaka kamili ya Zanzibar..?
Maswali yote hayo yatapatiwa majibu pamoja na mambo kadhaa muhimu kesho katika mkutano hima hima Wazanzibari musikose. Hatumwi mtoto katika mambo ya kukombowa nchi!!!
 
Msafara utaondoka Komba Wapya kuolekea Matemwe saa 6:00 za Mchana.
Shime Wazanzibari wote kuhudhuria kwa wingi bila ya kukosa!

TUNATAKA NCHI YETU SASA TUMECHOKA TAFRANI HII TAFRANI HII TUNATAKA NCHI YETU SASA TUMECHOKA TAFRANI HII TAFRANI HII TUNATAKA NCHI YETU SASA TUMECHOKAAAAAAAAAAAAAAAAAA.

HAKI HAKI HAKI HAKI HAKI KWA NANI KWA WAZANZIBARI WOTE WANATAKA NCHI YAO.

KWAA CHAAA KWEUPE KWAAA CHAAA KWEUPE WAZANZIBARI TUNATAKA NCHI YETU.

TUACHIWE TUPUMUWEEEE TUACHIWE TUPUMUWEEE TUACHIWEE TUPUMUWEEE

KWA WALIO NJE YA NCHI YETU TUNAYO IPENDA YA ZANZIBAR MUNAWEZA KUMSIKIA MAALIM LIVE KUPITIA

;KWA  http://www.ustream.tv/channel/karafuumedia.
tangaza live
ZANZIBAR KWANZA SHENGESHA BAADAYE.
MUSI SAHAU KESHO

No comments:

Post a Comment