Saturday, June 1, 2013

MPAKA LINI MTOTO WA KITANGANYIKA ATALALIA PESA NA WAKIZANZIBARI ATALALIA NJAA..???


HAKUNA CHA KATIBA WA LA MUUNGANO TUNATAKA NCHI YETU YA ZANZIBAR KWANZA,GASI YAO WANAYO MTWARA NAWACHIMBE,THAHABU WANAZO,ALMASI WANAZO,MAKA YA MAWE WANAYO,TANZA NIGHT WANAZO,BUGAA ZA WANYAMA WANAZO ARDHI ILIYO KUBWA KWA KILIMO NA KUISHI WANAYO.WATUACHIYE ZANZIBAR YETU MZANZIBARI SINDUKA ZANZIBAR KWANZA ZANZIBAR KWANZA.

1 comment:

  1. wewe mwenye blog hii huna akili hata kidogo. ifanyie akili yako uchunguzi uone kama unachokiandika kina tija kwa wazanzibar au influence yoyote kwa maendeleo ya zanzibar. mwehu wewe!!!

    ReplyDelete