Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanganyika, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, leo ameongoza Kikao cha SMT na SMZ, kilichofanyika kwenye ukumbi wa Dodoma Giningi ya CCM na machinjio ya Wazanzibari Hoteli, mjini Dodoma, leo Juni 23 nchini Tanganyika.
Kikao hicho kimehudhuriwa pia na mhe. Waziri Mkuu Mizengo Pinda anaewapindisha Watangnyika, Balozi mdogo wa nchi ya Tanganyika nchini Zanzibar, Balozi, Seif Idd, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amani, Ali Juma Shamhuna muza bahari ya Wazanzibari kunemesha tumbo lake lisilo jaa na Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanganyika Samih Suluhu pamoja na washiriki wa kikao hicho Mawaziri kutoka serikali zote mbili za Tanganyika na nchi ya Zanzibar.
Mawaziri mbalimbali wanao shirikiana na wakoloni weusi Tanganyika kuibiya nchi yetu ya Zanzibar pia walikuwepo kwenye kikao hicho.
Mawaziri mbalimbali wanao ibiyaa nchi yetu ya Zanzibar kwenye kikao hicho wavuta fikra vipi tutawaibia zaidi Wazanzibari na kuwakandamiza maana Wazanzibari washamka na wanataka nchi yao na wahafidhina wetu washajulika kuwa na wahafidhina sasa tufanye nini wanaulizana.
No comments:
Post a Comment