NATAKA TU NELEZE KWA KIFUPI KUHUSU JINEMBO HII LA KITANGANYIKA NA KIPAGANI KUWA ZANZIBAR HATULITAKI HILI KABISA.
Huu Mwenge ni mila ya kipagani. Wana abudu moto . Yako makabila yenye asili hiyo huko nchini Tanganyika. Vishoka huku kwetu Zanzibar wengine inawakumbusha wa Tangaganyika na wa Msumbiji walo toka kwenye kambi za Sakura huko Tanga kwenye mashamba ya mikonge; na vishoka vyao na mapanga( mabunduki, MashinGuns) kuja kuwateketeza Wazanzibari na nyumba za Wazanzibari,kuwauwa Wazanzibari,kunajisi wanawake wa Kizanzibari,kuwaowa kwa lazima,kuyachukuwa mashamba ya Wazanzibari na kuyakatakata heka na kuwapa hao Watanganyika walio wauwa Wazanzibari na Wazanzibari wasio kuwa na hatia yoyote kuliwa na kunyanganywa mali zao. Baadae waka ifanya nchi ni yao. Si wame imwagikia damu!!! kama munafikiri tumesahau munajidanganya hatujasahau.
Amaa kuhusu huu wanao dai kuwa ni mkarafu, huo sio mkarafuu, kama unaujua mbangi basi ndo, huu na kama watu hamujuwi mbangi basi utafuteni muangalie picha yake, ndio mtajuwa kuwa huu sio mkarafu ni mbangi na nchini Tanganyika kuna mibangi mingi sana kuliko katika ukanda mzima wa africa ya mashariki na kila moja anajuwa. ama kuhusu bahari hata bagamoyo iko bahari tanga iko bahari sasa Mzanzibari katika nembo hii yuko wapi..................?????????????????????????????
No comments:
Post a Comment