MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Wednesday, June 12, 2013
KIKWETE,BILALI,SHEIN,MAALIM SEIF NA BALOZI SEIF FANYENI MTAKAVYO LAKINI MASHEIKH WACHIWE KABLA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI AU JITARISHENI KWA ATHABUU YA M/MUNGU ILIO KALI KABISA HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA PIA.
HAW NDIO WAKOMBOZA WA NCHI YA ZANZIBAR NA WAZANZIBARI KWA UJUMLA
HAWA NI WAZANZIBAR WANAO TAKA NCHI YAO YA ZANZIBAR KUWA HURU,SIO KUPEWA RASIMU,KATIBA,SEREKALI MOJA,MBILI,TATU WALA NNE TUTAKA NCHI YETU BASIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII TUACHIWEEEEE TUPUMUWEEEE TUACHIWEEEE TUPUMUWEEEE TUACHIWEEEE TUPUMUWEEEEE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment