Wednesday, January 1, 2014

HATUTAKI KATIBA LA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KATIKA NCHI YETU YA ZANZIBAR TUNATAKA MKOLONI MWEUSI AWACHIYE MASHEIKH WETU NA NCHI YETU BASIWANAJIDAI NI KATIBA YA TANZANIA KUMBE NI KATIBA YA TANGANYIKA WANATAKA KUIMEZA NCHI YA ZANZIBAR KAMA WALIVYO KIUWA CHAMA CHA ASP NA KUKIFANYA MAMUZI YAKE YAWE GININGI DODOMA HATUTAKI TUNATAKA NCHI YETU NA HIYO TANGANYIKA NA IFUFUKE NA ITUMIYE HIYO KATIBA YAO.  ZANZIBAR TUNAKATIBA YETU TUSIKUBALI KULETEWA KATIBA LA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA TUKIKUBALI TU BASI KATIBA YETU WATAIYUWA KAMA WALIVYO KIUWA CHAMA CHA ASP

No comments:

Post a Comment