MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Monday, January 13, 2014
ZANZIBAR SIO NCHI HURU MSIJIDANGANYE-KWA KIPI CHA KUSHEREHEKEA KILA UNAKO ANGALIA NCHI YA ZANZIBAR NI MISIBA TU
MADARAKA MATAMUU EEE JAMANI MADARAKA MATAMU NYIEE HAMUJUWI
HAWA WALINZI WAKE MBONA WOTE NI MACHOGO AU WAZANZIBARI HATUAMINIKI KUMLINDA KISHAINI....?
KM KM IMEBAKI JINA TU WANGALIYE NYUSO ZAO UTAWAJUWA TU NI WA MRIMA
HAKUNA CHA SHEREHE ZA MAUWAJI YA WAZANZIBARI WALA NINI HAPA SISI TUNA TAKA NCHI YETU YA ZANZIBAR IWE HURU ITOKE KATIKA MAKUCHA YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA
NCHI KWANZA ZANZIBAR KWANZA NCHI KWANZA ZANZIBAR KWANZA
WAKINA MAMA NAO HAWAKUWA NYUMA SIKU YA WAZANZIBAR WALIPO TEMBEA KWA AMANI KATIKA NCHI YAO YA ZANZIBAR INAYO SHIKILIWA NA MAJESHI YA KITANGANYIKA TUNATAKA NCHI YETU TOKENI WATANGANYIKA TOKENI
MAJESHI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA YAKIWA HARAKANI KUWARUDISHA MASHEIKH WETU JELA MASHEIKH WAMEFUNGWA KWA KUONEWA NA KWA KUDAI NCHI YETU YA ZANZIBAR IWE HURU NA SIO KUTAWALIWA NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA
TUNATAKA NCHI YETU MUSITULETE KASUMBA ZA UMAPINDUZI HAZIFANYI KAZI TENA TUNATAKA NCHI YETU YA ZANZIBAR.
TUACHIWE TUPUMUWEE TUACHIWE TUPUMUWEE TUACHIWE TUPUMUWEE NCHI YETU YA ZANZIBAR
ZANZIBAR KWANZA ZANZIBAR KWANZA UMAPINDUZI NI KASUMBA ZA KUTUGAWA WAZANZIBARI HAZIFANYI KAZI TENA HAPA NI ZANZIBAR KWANZA
MAKABURU WEUSI TANGANYIKA YELE YELE WALIO WAFANYIA BABU NA BIBI NA MAMA NA BABA ZETU 1964 NDIO WANAYO TUFANYIA SISI MAKABURU HAWA WEUSI WA TANGANYIKA TUNATAKA NCHI YETU HATA MUTUPIGE MARA MIA BADO TUNATAKA NCHI YETU YA ZANZIBAR
MAKABURU WEUSI WA TANGANYIKA WAKIMPIGA MZANZIBARI HALISI
NCHI KWANZA ZANZIBAR KWANZA TUNAKWENDA MBELE NA MBELE ZAIDI ZANZIBAR IWE HURU SIO KUTAWALIWA NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA
NCHI YA ZANZIBAR HAIKO HURU NDIO MAANA HAWA MAKABURU WEUSI BADO WANAWATESA MASHEIKH WETU JELA NA SHEIN ANAKULA TU ULUWA WAKE
MIAKA 50 NA HALI ZA RAI WA ZANZIBAR NDIO HIZI MIAKA 50 MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA YUMO KUTUNYONYA TUMEZIDI KUWA MAFUKARA
MIAKA 50 YA (MAPINDUZI) MAUWAJI YA WAZANZIBARI HALI ZA WAZANZIBARI NDIO HIZI
MIAKA 50 HALI ZA RAI WA NCHI YA ZANZIBAR NDIO HII MIAKA 50
MAKABURU WEUSI TANGANYIKA WAKIENDELEA KUWAKANDAMIZA RAI WA NCHI YA ZANZIBAR
JE SHEIN TUFURAHI PIA SIKU JESHI LAKO LA KIKABURU WEUSI LILIPO WAPINGA MABOMO WAZANZIBARI KATIKA MSIKITI WA MAHONDA NA DONGE MOJA KATIKA FURAHA ZA MIAKA 50 AU SIO SHEIN
SHEIN NA WAKOLONI WAKO WEUSI TANGANYIKA HAMUELEWI LUGHA TUNATAKA NCHI YETU YA ZANZIBAR HATUTAKI KATIBA
ZANZIBAR KWANZA HATUTAKI KATIBA TUNAYO KATIBA YETU TUNATAKA ZANZIBAR YETU MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA TOKA TOKA TOKA TOKENI MAKABURU WEUSI TANGANYIKA TOKENI
SHEIN NA KIKWETE WAKO NYOTE BORA MSILIMU UPYA NYINYI
KILA ANAYE SHIRIKIANA NA KIKWETE AU SHEIN KUWAFUNGA MASHEIKH BORA MUPIGE SHAHADA UPYA
WATOTO WCHANGA WALIO KUFA KWA KUZAMA MELI JE SHEIN HAYA NDIO YAKUFURAHI MIAKA 50 YA MAUWAJI YA WAZANZIBARI...?
MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA TOWA AMRI MASHEIKH WETU WATOLEWE JELA NA KIBARAKA WAKO SHEIN MPE AMRI AWATOWE AU NYOTE JITARISHINE NA ATHABU KALI YA M/MUNGU HAPA NDUNIANI NA KESHO AKHERA
UZI ULE ULE MPAKA WAITOWE NCHI YETU YA ZANZIBAR
UZI ULE ULE MPAKA WAITOWE NCHI YETU YA ZANZIBAR
UZI ULE ULE MPAKA WAITOWE NCHI YETU YA ZANZIBAR
UZI ULE ULE MPAKA WAITOWE NCHI YETU YA ZANZIBAR
JE SHEIN,BALOZI WATANGANYIKA IDDI,ALI VUAI,SHAMHUNA,NAHODHA NA KATHALI MSHAZIDUKA....?
JAMANI MADARAKA MATAMU NYIEE AHAMUJUWA MADARAKA YALIVYO MATAMU
JESHI LA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA LILILO NCHINI ZANZIBAR WA MRIMA HAO
UJUMBE TUNAKUPA RAISI WA COMORO KAWAMBIYE WAKOMORO KUWA ZANZIBAR SIO NCHI HURU INATAWALIWA NA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA MUKIJIDANGANYA ATI NA NYINYI KUNGANA MUMEKWISHA WAZANZIBARI HATUTAKI TANZACOM KAMA NYINYI KOMORO MNATAKA NGOJENI WAZANZIBARI TOJITOWE KISHA NYINYI MUUNGANE NA WATANGANYIKA KISHA MUUTAITA TANCOM MAMBO POA KABISA
HAMUMDANGANYI MTU HAWA WAKURIIYA WA MRIMA MULIO JIDAI KUWAFANYA KUWA NI WAZANZIBARI SISI TUNAWAJUWA WOTE MPAKA LEO HAWAWEZI KUSEMA KWAHERI WANASEMA KWAHELI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment