MRATIBU WA DUA MAALUM ALLEN MBAGA KUTOKA KANISA LA TANgANyIkA FELLOWSHIP OF CHURCHES (TFC) ALIESIMAMA KULIA AKIWATAMBULISHA WACHUNGAJI WALIOFIKA KWA RAIS MSTAAFU WA NCHI ya ZANZIBAR DKT SALMIN AMOUR JUMA KWA LENGO LA KUMTEMBELEA NA KUMUOMBEA dua NYUMBANI KWAKE MIGOMBANI,nchini ZANZIBAR
RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR DKT. SALMIN AMOUR JUMA ALIYEVAA KOFIA NYEUPE atii na yeye AKIWAPA HISTORIA YA BARA LA AFRIKA KABLA YA UKOMBOZI WACHUNGAJI wa kanisa kutoka nchini tanganyika walio letwa hapa nchini ZANZIBAR WALIPOFIKA NYUMBANI KWAKE KUMTEMBELEA na kumuombea dua
WACHUNGAJI WAKIONGOZWA NA ASKOFU FABIAN OBEDI KUTOKA KANISA LA PENTEKOSTI kutoka nchini tanganyika ambao sasa wanajaribu kuwa na makazi yao nchini ZANZIBAR WA TATU KUSHOTO WAKIMUAGA RAIS MSTAAFU WA NCHI YA ZANZIBAR comando wa udongo MARA BAADA YA KUMALIZA KUMUOMBEA dua NYUMBANI KWAKE MIGOMBANI nchini ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment