Raisi wa nchi ya Tanganyika (WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA) Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni NCHINI ZANZIBAR Desemba 4, 2014
(WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA) Rais wa nchi ya Tanganyika Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni jeshi la wanamaji wa nchi ya Zanzibar Desemba 4, 2014
(WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA) Raisi wa nchi ya Tanganyika Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali baada ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM wa jeshi la wanamaji Kibweni nchini Zanzibar Desemba 4, 2014
Askari wakakamavu wa kike wa KMKM chakula cha magenerel wakiwa wamesimama kumlaki (WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA) Rais wa nchi ya Tanganyika Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili kwa ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM jeshi la wanamaji Kibweni nchini Zanzibar Desemba 4, 2014
Askari wakakamavu wa kike wa KMKM CHAKULA CHA MAGENERELI wakiwa wamesimama kumlaki (WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA) Rais wa nchi ya Tanganyika Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili kwa a ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM jeshi la wanamaji Kibweni nchini Zanzibar Desemba 4, 2014
No comments:
Post a Comment