Thursday, January 10, 2013

JANUARI-12-1964 NI SIKU YA MAJONZI NA MASIKITIKO KWA WAZANZIBARI WENGI WALIULIWA NA KUNAJISIWA WAKE ZAO NA WATOTO WAO WA KIKE NA WATANGANYIKA


WAZANZIBARI WALIO ULIWA KATIKA MAPINDUZI YA KUPINDULIWA NCHI YAO YA ZANZIBAR 1964 BAADA YA KUVAMIWA NA WATANGANYIKA.

“Zanzibar ikijitenga kutokana na wakoloni weusi Tanganyika ilivyo wakandamiza kwa muda wote huu itakuwa ni nchi yenye maendeleo kwa mdaa mdogo sana maana zanzibar sio nchi kubwa kama ilivyo nchi ya wakoloni weusi Watanganyika, wakumbuke Wazanzibari kuwa Muungano ndiyo unaowafanya wawe masikini hahe hohe ndio unawafanya wabaguwana na kutana wewe mpemba na wewe munguja maana kabla ya muungano kulikuwa hakuna kitu kama hichi wajuwe mila,disturi,ustarabu wao unazidi kupoteya na kuwa kama washenzi wa Kitanganyika.
JUMAMOSI ijayo Zanzibar inatimiza miaka 49 tangu kufanyika mapinduzi ya kuipinduwa zanzibar na wazanzibari kwa ujumla Januari 12, 1964 ambayo yaliung’oa utawala halali wa Wazanzibari ambao uliingia madarakani Desemba 10, 1963 baada ya kuondoka wakoloni wa Kiingereza.
Mapinduzi hayo yanatokana na tangazo la Januari 12, 1964 asubuhi, pale sauti ambayo haikuwahi kusikika katika ukanda wa Tanganyika wala Zanzibar ikitangaza kufanyika kwa mapinduzi kisiwani humo.
Tangazo hilo ilikuwa la John Okello Missionary, ambaye mpaka mauti yanamfika haikufahamika kama alikuwa ni raia wa Kenya au Uganda. Okello na msaidizi wake Engine walitoa amri ya kukamatwa kwa mawaziri wa Serikali ya Wazanzibari na kukataza watu kutembea na huku wao wakiendelea kuwaa rai halali wa kizanzibari na kuwanajisi wanawake wa kizanzibari na kuwapiga bakora wazanzibari uchi hadharani mambo yote haya yalikuwa ni mageni kwa wazanzibari wala hawakufahamu nchi yao imefikwa na nini.
Itakumbukwa kuwa usiku wa Mapinduzi hayo Januari 11, 1964, Hayati Aman Karume yeye na abdurahamani babu jijini Dar es Salaam kwa  bila ya kujuwa nini kinaendelea katika nchi yao baada ya mapinduzi kwisha na Mzee karume kuja zanzibar na babu walimtimuwa kihikma JOHN OKELLO na kumuambia nyerere anakuita alipofika kwa nyerere na akamumbia huna ruhasa yakurudi zanzibar hapa tanganyika pia sikutaki akaishi patupu juu ya juhudi zake zote za kuwauwa wazanzibari hakuambulia kitu.
Katika mwendelezo wa juhudi za kuifisidi Zanzibar, mamia ya watu wenye asili ya Comoro na Wazanzibari wenyewe walifukuzwa Zanzibar ambapo watoto wadogo walipelekwa maeneo ya bandarini kuonana na baba zao kwa ajili ya safari ya Oman.
Kazi iliyofuata ilikuwa ni kulinda mapinduzi hayo ambayo yamewaulisha viongozi,madaktari,masheikh,wafanya biashara,na wanawake kulazimishwa kuolewa na machogo wakati huwo wakiwa na magovi yao hawaja tahiriwa na wengi wao walikuwa wakiristo na wamewanajisi wanawake wakizanzibari kwa muda mrefu sana na hatua zilizofikiriwa zaidi ilikuwa ni kuwa na Muungano utakaohakikisha kuwapo kwa kuithibiti na kuitawala kwa mtutu nchi ya Zanzibar isirejeshwe mikononi mwaa Wazanzibari wenyewe baada ya kupinduliwa na machogo,wanyika,mitwana,wakoloni weusi,mikaburu meusi iliyo tuwa wazanzibari kuanzia 1964 mpaka leo hii kila uchanguzi wamekuwa wakituwa.
DIKTETA Julius Nyerere na Abeid Aman Karume kutoka kila upande wa Aprili 26,1964 wakaamua kuchanganya udongo kama ishara ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lakini ukweli ni kuwa sasa Zanzibar wameshaitawala na hawata itowa tena mnamo Aprili 26,1964 na kusaini Hati ya Makubaliano ya kuunda (Tanzania) lakini hakuna Tanzania ni koti tu Tanganyika imo ndani ya koti hili zanzibar mpaka leo haijafa Tanganyika iko wapi....?
Sababu nyingine za kulinda nchi hiyo ya Zaznzibar kupitia Muungano huwo feki ilikuwa ni kuanzisha chuki na ubaguzi ili wazanzibari wasitabuwane huku mkoloni mweusi akiendelea kuwatawala bila wao kujuwa kama wanatawaliwa  baada ya kufanikiwa Zanzibar ilipatwa na mpasuko uliosababishwa na ubaguzi miongoni mwa Wapemba na Waunguja ambao mpaka leo unaendelea kuchochewa na wakoloni weusi Tanganyika ambapo hali inaonyesha bila Muungano feki wazanzibari wasige chukiana,wala kubaguwana,wala kutengena wala wasingelikubali kutawaliwa na Watanganyika ambao wao wenyewe walikuwa hawana nchi inayo itwa Tanagnyika wakati zanzibar ilikuwa ni nch tayari kwa miaka na kaka.
Pamoja na kuwapo Muungano huu feki, mpasuko baina ya Uunguja na Upemba umeanza kufifia na kuonekana hadi leo na wakati wa kutoa maoni ya Katiba Mpya abayo pia ni feki imeletwa ili izidi kuwadumaza Wazanzibari, wapo waliosema wazi kuwa kuwa na muungano wa mkataba,na wapo waliosema TUACHIWEEE TUPUMUWEEEEEEEEEEE.
lazima ieleweke kwamba hata busara ya makubaliano kati ya Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kupitisha kura ya maoni kwa Wazanzibar na kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa, inatokana na sababu ya kuimarisha uhusiano kati ya Unguja na Pemba walio tengeneshwa kwa miaka mingi na mkoloni mweusi Tanganyika.
Pamoja na kubainika kwa upungufu mkubwa ukiwamo kutonufaika na Muungano huo feki, inasemekana kuna makundi yanayotumiwa sasa kisiasa na mkoloni mweusi Tanganyika kwa kupitia chama chake cha wauwaji CCM  au wafuasi wake wa VIKUNDI kama vili,UBAYA UBAYA,MBWAA MKALI,JANJAWII,MBWA MWITU N.K kutaka kuuvunja umoja na upendo na masikilizano ya wazanzibari wakati huu wa kudai nchi yao iliyo huru na mamlaka kamili, ili kuirejesha Zanzibar mikononi mwao Wazanzibari.
Hata hivyo, umuhimu wa Wazanzibari kuwa kitu kimoja unazidi kuwapo na kuonekana kama ambavyo Wazanzibari walivyo kuwa kabla ya mapinduzi haya yaliyowafikisha pabaya sana wazanzibari.na ndoto ya nyerere yakutaka kuiangamiza zanzibar na kumeza na kuipoteza katika ramani ya dunia imeanza kufifia nyerere  alikuwa akisema mara kwa mara, kuwa NINGELIKUWA NA UWEZO WAKUVIBURURA VISIWA HIVI VYA ZANZIBAR NIKAVITUPILIYA MBALINI KATIKA BAHARI YA HINDI BASI NINGELIFANY BAHATI MBAYA KAFA KAVIWACHA HAPA HAPA AHAHAHAHA PIA ALISEMA WAZANZIBARI WAKIUNGANA TANGANYIKA HAITAKUWA SALAMA NDIO SASA DODOMA HAWANA USINGIZI.
WAUWAJI WALIO WAUWA WAZANZIBARI 1964 NA KUWANYANGANYA NCHI YAO NA KUWANAJISI WANAWAKE WA WAZANZIBARI KWA LAZIMA NDIO HAWA KWAHERI UKOLONI WA MUENGEREZA KWA HERI UHURU WA WAZANZIBARI KARIBU MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA IFISIDI ZANZIBAR MPAKA IFISIDIKE

No comments:

Post a Comment