Saturday, January 12, 2013

VIONGOZI WA NCHI YA ZANZIBAR LEO WAMEJUMUIKA TENA KUSHEREHEKEA MAUWAJI YA DUNGU ZAO WALIO ULIWA 1964 NA WATANGANYIKA NA KUYAPA JINA KUWA NI MAPINDUZI MATUKUFU.ASTAHAFIRU ALLAH.


MAALIM SEIF,BILALI NA KOMANDO WA UDONGO KATIKA PICHA.

BILALI,MAALIM SEIF NA KOMANDO WA UDONGO.

NAHONDA MTUMWA MPYA WA MACHONGO WATANGANYIKA

KIFICHO,JR KARUME,MZEE KONDOM,KILIMBWA CHA FIRAUNI BALOZI.

KOMANDO WA UDONGO AKIPAPASA KUTAFUTA MKONO WA BILALAI.

MAALIM SEIF AKIMSAIDIA KOMANDO WA UDONGO MKONO WAKE KUMSALIMIA DR KUMBI SHEIN.SHEIN KOMANDO ALIKUWA NA KIBRI KULIKO WEWE MUONA SASA HALI ALIYO HAPO NI MIFANO HAI HIYO WATOWE MASHEIKH JELA AU KAMA NA WEWE UNASUBIRI LIKUFIKE LA KUKUFIKA SAWA.

MITWANA YA KITANGANYIKA ILIYO JAZWA ZANZIBAR NA KUISHIKILIA ZANZIBAR KWA NGUVU ZA JESHI WANAJESHI HAO WAKITOWA SALUTI ZAO KWA WAHAFIDHINA WA KIZANZIBARI.
KILA MWENYE KUSHEREHEKEA SHEREHE HII BASI AJUWE ANASHEREHEKEA DUNGU ZAKE WALIO ULIWA 1964 NA WALIO IBIWA NA KUTAIFISHIWA MALIZAO.PIA KUHARIBIWA WAKE ZAO,DADA ZAO,MAMA ZAO,ANTI ZAO NA MAJIRANI ZAO AMBAO WENGI WAO WALI FANYWA MAMBO MABAYA NA VIKAPTURA MAGOVI WAKATI WA MAPINDUZI NA WENGINE KULAZIMISHWA KUOLEWA BILA YA DOWA HALALI. MAANA MTU ANASEMA TU KUANZIA LEO HUYU NI MKE WANGU JE KUNA DOWA HAPO...? NA HUYO ANAYESEMA KUWA HUYU NI MKE WANGU KUANZIA LEO YEYE NI MKIRISTO CHOGO LA BARA LINAMCHUKUWA KIBITI AU MKE WA MTU HAPO ZANZIBAR NAKUWA MKE WAKE JE HAPO KUNA DOWA...? LEO NYINYI MUNASHEREHEKEA HAYO DAAAH. HAYO NDIO MAMBO YALIYO TENDEKA HAPA NCHINI KWETU ZANZIBAR KWA HIYO NYINYI VIONGOZI NA VIBARAKA WENU MUJUWE MUNASHEREHEKEA UCHAFU NA HARAMU ZILIZO FANYWA MUJUWE NA NYINYI MUMEBEBA SAWA SAWA NA WALIO FANYA HAYO NA SIKU YA KIYAMA HAIKO MBALI TENA KAZI KWENU.

No comments:

Post a Comment