Sunday, January 27, 2013

WATU WA MTWARA WAWAFUNDISHA WAZANZIBARI JINSI YA KUDAI HAKI YAKO KUTOKA KWA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA.


Moja ya ikiteketea wakati wa vurugu mkoani Mtwara ambapo magari katha, pikipiki  viliteketezwa kwa moto  vyote vikiwa ni mali za halmashauri ya Masasi na baadhi ni vya watumishi wa halmashauri hiyo iliyo zowea kuwakandamiza watu wa mtwara na kuifaidisha mitumbo ya viongozi wa serekali ya kitanganyika isiyokuwa na imana na rai wake.

magari yakiendelea kuteketea kwa moto.

Hili ndio jengo la Mahakama ya madhalim walio zowea kuthulumu watu wa mtwara lililochomwa moto.
 
Nyumba inayosemekani ni nyumba ya waziri ikiwa nayo pia imeshughulikiwa vizuri sana maana wao mawaziri wamewekwa kutumikia watu lakini wangalie wao wanavyo ishi na familia zao na watu wanavyo lala na njaa kila siku na wao hata hawajali wanasubiri siku za changuzi tu ndio utawaona basi hii ndio hali muache nayeye aone utamu wa kuharibikiwa safi sana mtwara.
 
Nyumba inayosemekana ni ya Mwenyekiti wa CCM baada ya kushughulikiwa pia vizuri na watu wa mtwara huyu ni mwenyekiti tu wa CCM angalia nyumba yake huku watu chumba kimoja wanalala familia nzima baba na mke na watutu wanafika sita au kumi wote chumba kimoja tena cha kumpangisha lakini mwenyekiti wa CCM anaikulu yake mwenyewe.

makaburu weusi wakiendele kuwashika rai wema wanaotetea gesi yao ya mtwara isisafirishwe kwenda dar kushibisha matumba ya viongozi waroho wasio shiba juju wa majuju.

hapo hapo watu wa mtwara mpaka kieleweke

hakuna cha hivi wala vile gesi ni ya mtwara kila kitu kifanywe mtwara washazowe kunyonya rai kisha wanasinzia dodoma katijumba lao la ufisadi

2 comments:

  1. mkimaliza kudai rasilimali ya gesi ikisha anza kuuzwa mtaona haitoshi mta anza na kujiuza miili yenu maana mnatamaa kutaka vya bure, kwahiyo mnataka kilamkoa wajigawe na rasilimali zao?......acha upumbavu!......

    ReplyDelete
  2. nanyie wazanzibar tumesha wachoka mkiamua kusepa nyie sepenitu! kama mafuta hata bara yapo na hizo chokoxhokozenu ni kam zakule katika asili yenu uarabuni huwa hamridhiki hata mkipewa nini,

    ReplyDelete