MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Wednesday, August 28, 2013
WAZANZIBARI NYOTE JUMAMOSI MUSIKOSE MANSOOR YUSSUF HIMID NA ISMAIL JUSSA LADHU KUNGURUMA
HUYU NDIO KIBOKO YA WACHAWI WOTE WILIO NDANI YA CCM CHAMA CHA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KILICHO PINDUWA CHAMA CHA A.S.P. NA KUWAPINDUWA WAZANZIBARI.
Sasa kuna kila dalili CCM chama cha mkoloni mweusi kimejiandalia Kifo nchini Zanzibari,
Yule Shujaa wa mamlaka kamili ya nchi yetu tunayo ipenda ya zanzibar na anayeweza kuthubutu kusema hapana, huyu hapa mchana huu hana wasiwasi kwa sababu kwake yeye nchi yetu ya Zanzibar ni zaidi ya nafasi ya uwakilishi au kuwa mwananchama wa chama cha mkoloni mweusi Tanganyika
Mambo yote bwaaaa Mambo yote bwaaaa
Jumamosi ukumbi wa Bwawani asie na mwana abebe jiwe ni Monsour Himid na Ismail Jussa Ladhu Kunguruma
Wahenga walisema sikio la kufa halisikii Dawa maamuzi ya Giningi Dodoma ni msiba kwa CCM chama cha mkoloni mweusi Tanganyika na,wahafidhina wao nchini Zanzibari
Kwa waliopo nje ya Zanzibar usikose kusikiliza live streaming: http://www.ustream.tv/channel/mazruimedialive
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment