Sunday, August 11, 2013

WAZIRI SAID ALI MBAROUK NCHINI ZANZIBAR NA UNAFIKI WAKE

wasichana-wa-kiingereza-564x272
Raia wa Uingereza waliomwagiwa tindikali wakiwa nchini Zanzibar leo wamerudi kwao.
Aidha, Serikali ya Minafiki ya Zanzibar (SMZ) imetangaza zawadi ya Sh milioni 10 kwa mtu yeyote ati atakayesaidia kukamatwa kwa wahalifu waliowamwagia tindikali raia hao wa Uingereza. Akizungumza na wanahabari nchini Zanzibar,Jinafiki Waziri wa Habari, Utamaduni na Utalii wa SMZ,Jinafiki Said Ali Mbarouk alisema wanafanya hilo kwa lengo la kupata ushirikiano kutoka kwa wananchi ikiwa pia moja ya njia za kukomesha matendo hayo.
LA SHEIKH FARID KUTEKWA ULITANGAZA MILLIONI NGAPI..??
LA KULIWA SHEIKH KITOPE KWA MAPANGA ULITANGAZA MILLIONI NGAPI..??
LA SHEIKH SAROGO KUMWANGIWA TINDI KALI ULITANGAZA MILLIONI NGAPI..??
LA WATOTO WA KIKE NA WAKIUME KUBWA HAPA HAPA ZANZIBAR UMETANGAZA MILLIONI NGAPI.??
LA WANAWAKE WALIO VULIWA HIJABU MAHONDA NA DONGE NA KUPINGWA NA POLISI UMETANGAZA MILLIONI NGAPI..?
LA MADAWA YA KULEVYA YALIO ZAGA NCHI NZIMA YA ZANZIBAR UMETANGAZA MILLIONI NGAPI..??
N.K N.K N.K MNAFAKI MKUBWA WEWE WAZIRI WA HABARI,UTAMADUNI NA UTALII WA SMZ SAID ALI MBAROUK.
Nchini Zanzibar. Raia wawili wa Uingereza, Katie Gee (18) na Kirstie Trup (18) waliomwagiwa tindikali nchini Zanzibar juzi na kulazwa Hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es Salaam nchini Tanganyika, wamesafirishwa kwenda kwao.

No comments:

Post a Comment