Wednesday, June 10, 2015

VIDEO-KAMATI YA MARIDHIANO MAPOKEZI NA MKUTANO MGOMBEA URAIS MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD CUF 2015 06TH JUNE NCHINI ZANZIBAR

PART 1/10
KWA MARA YA KWANZA KATIKA MAISHA YANGU
NIMEFURAHI SANA JINSI POLISI WALIVYO POWA KABISA
NA HASHIMA NA USTARABU KWA MAALIM WALIVYO MPOKEA
IKIWA POLISI MTAKUWA HIVI MPAKA UCHAGUZI KUMALIZIKA NCHI HII
YA ZANZIBAR ITAIGWA NCHI NYINGI ULIMWANGUNI NA ITAHESHIMIKA
POLISI MSIKUBALI KUCHEZEWA AKILI NA KUTUMIWA NA WATU WALIO FILISIKA KIAKILI KATIKA SIASA NA HATA KATIKA MAISHA YA KAWAIDA WATU HAWA HAWANA TENA MUELEKEO WAO WANAFIKIRI MATUMBO YAO TU.
PART 2/10
PART 3/10
PART 4/10
PART 5/10
PART 6/10
PART 7/10
PART 8/10
PART 9/10
PART 10/10
JIONI KWA MACHO YAKO NCHI ILIVYO TULIA NA USTARABU WATU NYOYO ZIME WAPOWA KABISA RAHA MPAKA NDANI YA ROHO M.MUNGU IBARIKI ZANZIBAR NA UWABARIKI WAZANZIBARI UDUMISHE UPENDO NA AMANI NA KILA ADUWI WA ZANZIBAR NA WAZANZIBARI M.MUNGU USIMUACHE MTIYE ADABU NA KILA MWENYE KUTAKA KUWAFITINISHA WAZANZIBARI ILI WAO WAPATE KUKA MADARAKANI M.MUNGU USIWAWACHE WAUMBUWE ILI KILA MOJA AWAJUWE KUWA HUYU NDIE ALIYEKUWA AKITUFITINISHA.  

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment