MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Saturday, June 6, 2015
MAJABU HAYA ATII VITAMBULISHO VYA ZAN ID 85,122 VIMEKOSA WENYEWE KWENDA KUVICHUKUWA AAAAAH AKAAAAAA
Maofisa wa ZAN ID na E-Government , wakiwa katika ukumbi
wa hafla ya kukabidhiwa vya Vyeti vya Ubora wa
Utengenezaji wa Vitambulisho.
Katika taarifa ambazo zimetoka kwenye gazeti la Zanzibarleo, kuwa kuna vipande idadi yake ZAN ID 85,122 atii wenyewe hawakwenda kuchukua wenyewe hivyo vitambulisho vyao , Je kuna juhudi gani zimefanyika ili kuwatambua wenyewe.....? Au hivyo vipande vya wapandikizi wanaogopa kwenda kuchukua.....? Kuna watu Zanzibar 40,000 hawajaandikishwa katika kupatiwa fursa hio ya vitambulisho na wana haha kila kukicha na ni Wazanzibari leo mnatuambia vitambulisho 85,122 wenyewe hawajakuja kuvichukuwa wenyewe wapi hao maana wazanzibari tunajuwana ukimuambia makame amuambiye usi na pandu waje wachukuwe vitambulisho vyao watakuja twambiyeni kweli mnawanyima wazanzibari mukituletea wakata makonge na wauza dawa na panya na karanga mnawatengezea vitambulisho na sasa labda wameigiwa na hofu ndio hawaji kuja kuchukua. wazanzibari sio wala hawastahiki kuzungushwa au kuhangaishwa maana ni haki yao vitambulisho lakini wanahangaika kila njia wapate nafasi hio, leo hii ni ajabu kuona vipande 85,122 havija chukuliwa.
Maofisa wa ZAN ID na E-Government , wakiwa katika ukumbi
wa hafla ya kukabidhiwa vya Vyeti vya Ubora wa
Utengenezaji wa Vitambulisho.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment