MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Tuesday, June 23, 2015
MAKAMO WA KWANZA WA RAISI WA NCHI YA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD AKIENDELEA NA ZIARA YAKE YA KUTEMBELEA WAGONJWA NA WAFIWA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA NCHINI ZANZIBAR
Makamu wa Kwanza wa Rais wa nchi ya Zanzibar Mhe. Maalim Seif Shariff Hamad akiendelea na ziara yake ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja. Ametembelea wagonjwa katika vijiji mbali mbali vya Mkoa huo vikiwemo Pitanazako, Chaani, Mahonda na Bumbwini Kiongwe.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akiendelea na ziara yake ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja. Ametembelea wagonjwa katika vijiji mbali mbali vya Mkoa huo vikiwemo Pitanazako, Chaani, Mahonda na Bumbwini Kiongwe.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akiendelea na ziara yake ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja. Ametembelea wagonjwa katika vijiji mbali mbali vya Mkoa huo vikiwemo Pitanazako, Chaani, Mahonda na Bumbwini Kiongwe.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment