Tuesday, June 9, 2015

VIDEO-NAIBU KATIBU MKUU ZNZ MH SALUM MWALIM ASEMA UKAWA MPAKA IKULU

CCM MUME PEWA MIAKA 50 NA WANANCHI MAJI SAFI 
YAMEWASHINDA KUWA RAI MAJI SAFI.KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.


No comments:

Post a Comment