Saturday, June 27, 2015

VIDEO-SAFARI YA MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD KWA KIKWETE RAIS WA NCHI YA TANGANYIKA HAIKUFUWA DAFU NA HALI KWA NCHI YA ZANZIBAR KUHUSU JESHI LA JWT KUWEKA VITUO VYA UANDIKISHWAJI NDANI YA KAMBI ZA KIJESHI NA KUANDIKISHA MAMLUKI BADO INAENDELEA

PART 1
PART 2
Safari ya Maalim Seif Shariff Hamad kwa Kikwete Rais wa nchi ya Tanganyika haikufua dafu na hali kwa nchi ya Zanzibar kuhusu jeshi la JWT kuweka vituo vya uandikishaji ndani ya kambi za kijeshi na kuandikisha mamluki bado inaendelea . Kwa hio inaonekana JWT,ZEC na vyombo vya Dola hapa nchini Zanzibar vimepewa baraka na Raisi wa nchi ya Tanganyika Kikwete ambae ni amiri Jeshi mkuu wa nchi hizi mbili Zanzibar na Tanganyika zilizo unganishwa kwa kini macho cha kutaka kuimeza nchi ya Zanzibar ili kutumia uwezo wao wote ili CCM chama chao cha Wakoloni Weusi Wa Tanganyika kibakie madarakani hapa nchini Zanzibar kwa lazima hata kama Wazanzibari hawakitaki je huwo ni Muungano au Ukoloni.....?? Kwa hali ilivyo njia peke yake yakuikomboa nchi ya  Zanzibar zaidi ya UDHALIM wa CCM na UNYAMA wao kwa wananchi wa nchi ya Zanzibar na MASHEIKH wetu wanao endelea kuteseka ndani ya mwezi huu mtukufu wa ramadhani gerezani , kilicho baki sasa nikujipanga kwa kufa au kupona ili CCM iondoke kabisa katika nchi yetu ya Zanzibar.

Ikiwa wananchi wa nchi ya Zanzibar katika mwezi mtukufu huu wa Ramadhani tutamuelekea Allah kisawa sawa basi 2015 oct CCM itangoko . Laa tukisema hali hii haituhusu sisi ni yawana siasa ? Sasa tujiulize jee wale Masheikh wetu tuta wagomboa vipi...?? Au ndio tumuachie M/mungu...?? Hivi sasa wana siasa wamegonga ukuta na CCM kuondoka hawataki hawajali Sheikh wala Wazanzibar,kwa hio wakati umefika wa umma wa Zanzibar kutoa mamuzi ya kuingoa CCM. Kama ni kufanya subra na kunusuru umwagaji damu Maalim Seif Shariff Hamad ameshajitahidi hata kunyanganywa ushindi wake zaidi ya mara moja na kuridhia shingo upande ili tu,kunusuru Zanzibar na umwagaji damu. Lakini wapiiii tangulini Mkoloni Mweusi Tanganyika au hata Mkoloni mweupe akakwambia haya hii nchi kwenye kisahani nakupa. Kama CCM wa Zanzibar vitumwa vya Mkoloni Mweusi Tanganyika wangelikuwa ni waungwana na watu wenye kujua samani ya Maalim Seif Shariff Hamad na upole na hekma yake wasingali mtumia watoto wadogo wahuni wa CCM kumchafua kwa kumtukana kwenye majukwaa. Lakini kila kitu kina ukomo wake ,mara hii tunamuomba Maalim abakie kwake na ilobaki ni kazi ya umma wa Zanzibar kudial na CCM kuingoa au kuwauwa Wazanzibar wote, Maana washazoe watuuwe na njaa na hali ngumu ya maisha wao wanakula raha mara hii na nyinyi hatolala salama hayo makasiri yenu mlio jenga yatwawakia moto na  in shaa allah hatutorudi nyuma kwa vitisho vya vyombo vya Dola.

Wazanzibar tuna zima juu ya Masheikh wetu wanao teseka gerezani ugenini na hii ni kipimo mbele ya Allah kutuangalia jee tutatumia jitihada gani kuwagomboa zidi ya madhalimu CCM...?? Maalim Seif Shariff Hamad marahii tuwacheye umma wa wazanzibar kuingoa CCM ,CCM hawajali hekma yako na wanatumia weekness hio ili kukupokonya ushindi na Zanzibar na Wazanzibari kuaangamia kwenye mikono ya Mkoloni Mweusi Tanganyika. Umma wa Zanzibar mara hii haurudi nyuma kwa vitisho vya vyombo vya  Dola vya Wakoloni Weusi Vilivyo wekwa hapa toke 1964 na Nyerere au Ubabaishaji wa ZEC , ZEC ni CCM na tunasubiri oct in shaa allah Tunamuelekea Allah kwa kuikomboaa nchi yetu ya Zanzibar na Masheikh wetu juu ya udhalimu wa CCM.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment