Monday, October 12, 2015

KAMPENI ZA CCM HIZO KUKULETEA MAENDELEO NA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA MIAKA 50 NA USHAIYA MAISHA BORO YA DOMO TUPU LABDA KWA VIONGOZI NA FAMILIA ZAO NA MAHAWARA WAO

MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA HAYO CCM OYEEEE MNAYAONA

MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA NDIO HAYA CCM OYEEEEEEE

KISHA WAKIRUNDI NYUMBANI HATA MAJI YA KUOGA HAWA SIKUNUKA MAKWAPA HUKO CCM OYEEEEEEEE


KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment