INGELIKUWA MAFISI MNAWASHIKA HARAKA HARAKA KAMA HIVI NCHI YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZISINGELIKUWA NCHI MASIKINI LAKINI WAPI MAFIDI WAMEKULA MPAKA WANANENEPA WANAENDELEA KUIBA MPAKA WANAWEWESEKA.
Sheria Mpya atii ya Makosa ya Mtandaoni ya 2015 imeendelea kuonyesha meno yake kufuatia kijana Israel William (20), kufikishwa katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo nchini Tanganyika, akishitakiwa kwa makosa mawili ya kuchapisha na kusambaza taarifa atii za uongo dhidi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanganyika (TCRA).
Akisoma mashitaka dhidi ya mtuhumiwa huyo, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Renatus Rutatinisibwa, Mwendesha Mashitaka wa serikali Estazia Wilson, amesema kijana huyo atii alitenda makosa hayo kwa nyakati tofauti kati ya Septemba 10 na Oktoba 5 mwaka huu jijini Dar es Salaam nchini Tanganyika.
Estazia amesema mshitakiwa aliandika na kusambaza katika mtandao wa Facebook taarifa zisizo sahihi, kuwa wafanyakazi wa TCRA wamekuwa wakilawitiwa, akijua kuwa taarifa hizo sio sahihi na ni kashfa. Mshitakiwa huyo amekana mashitaka hayo na upande wa mashitaka umesema uchunguzi wa suala hilo bado haujakamilika. Mtuhumiwa huyo amepelekwa rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana.
Israel anakuwa mhanga wa pili wa sheria hiyo mpya ya makosa atii ya mtandaoni, kufuatia pia kufikishwa mahakamani kwa mwanafunzi wa Chuo cha DIT Benedict Ngonyani, kwa kusambaza taarifa za uongo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Jeshi la Wananchi wa Tanganyika (TPDF) Jenerali Adolph Mwamunyange amelishwa sumu.
Mwanasheria Mkuu wa TCRA Kalungula, kwa mara nyingine amewaonya vijana dhidi ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii na kuwashauri kufuata kanuni na taratibu za mawasiliano na matumizi ya mitandao hiyo kwa mujibu wa sheria. Amesisitiza kuwa hakuna mtu atakayeachwa kwa kutumia vibaya mitandao ya kijamii na kinyume na Sheria ya Makosa ya Mtandaoni.
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
No comments:
Post a Comment