19 Oktoba 2015 Imebadilishwa mwisho
Wakazi katika maeneo mengi ya nchi ya Zanzibar wamekuwa wakifika vituo vya tume ya uchaguzi kuhakiki taarifa zao kuhakikisha majina na maelezo kuwahusu yamenakiliwa vyema.
Baadhi wamedai kuona majina ya watu waliofariki kwenye sajili. Lakini mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi wa nchi ya Zanzibar Salum Kassim Ali amesema hilo ni jambo la kawaida na kusema raia ndio wenye jukumu la kufahamisha tume wapiga kura wanapofariki dunia.
Mwandishi wa BBC Aboubakar Famau, aliyetembelea kituo cha shule ya upili ya Haile Sellasie, Unguja anasimulia.
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
No comments:
Post a Comment