Wednesday, October 21, 2015

NCHINI TANGANYIKA KUNANI-HAFLA BIIIN VUUU KUMELETWA MAGARI ATII KWA AJILI YA KUIMARISHA JESHI LA POLISI.



Wimbo wa Taifa katika sherehe za kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa jili y JESHI LA POLISI nchini Tanganyika.



Sehemu ya magari hayo waliyo kabithiwa JESHI LA POLISI nchini Tanganyika

Inspekta Jenerali wa Polisi IGP  wa nchi ya Tanganyika Ernest Mangu akisoma risala kwa Rais Kikwete katika  Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya  kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya JESHI LA POLISI nchini Tanganyika




Rais wa nchi ya Tanganyika Kikwete akiendelea kuhutubia katika  Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam nchini Tanganyika leo Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya  kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya  jeshi la polisi nchini humo Tanganyika.

Rais wa nchi ya Tanganyika Kikwete akikata utepe katika  Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam nchini Tanganyika leo Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya  kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya  jeshi la polisi nchini humo Tanganyika.








 Rais wa nchi ya Tanganyika Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya madereva na wanafunzi baada ya kukabidhi sehemu ya magari  777 yanayoletwa kwa ajili ya  jeshi la polisi nchini humo Tanganyika.


Picha ya kumbukumbu na makandarasi walioleta magari hayo kwa ajili ya jeshi la polisi nchini Tanganyika

Rais wa nchi ya Tanganyika Kikwete akiongea na IGP Mstaafu Dkt. Saidi Mwema baada ya sherehe hiyo ya kukabithi magari kwa jeshi la polisi jijini Dar es salaam nchini Tanganyika

Sehemu ya magari 399 kati ya 777 yaliyoagizwa kwa ajili ya jeshi la polisi nchini Tanganyika.
 KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment