Wednesday, October 28, 2015

NCHINI TANGANYIKA-IKIWA CCM INASEMA MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD KUZISOMA TAKWIMU ZA KURA NI KOSA LA UHAINI JE HILI LA MABOX YA KURA FEKE MNASEMA NI MAHINDI NI KOSA LA NINI.....????

AIBU CCM......AIBU CCM.....AIBU CCM
Chama kinacho jigamba kikongwe na atii wanavyosema wenyewe CCM chenye kupendwa na watanzania kwa sera leo kimekua aibu aibu aibu kinafanya mambo ya kimajabu majabu majabu kama haya kulazimisha lazima lazima kwa vyovyote vile hata kutumia jia ya wizi na ukandamizaji wa Democrasi lazima makufulu ashinde Uraisi doooo aibu aibu kubwa hii.Ikiwa CCM inasema kujitangazia Maalim Seif ni kosa la uhaini Jee hili CCM ni kosa la nini....??Hata mimi kama ni Chadema/UKAWA basi naukataa uchaguzi wa uraisi kwa hali hii aibu aibu aibu CCM Munaubuka ulimwengu unawatazima tu munavyo aibika CCM.
Na wakikubali Chadema hujuma hii basi watanzania tutawaona siwamaana .
Hii kweli ndio Amani ya nchi hii kweli ndio democrasia CCM.....???????
Mahindi ya CCM hayo Mahindi ya CCM hayo Mahindi ya CCM hayo


KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment