Tuesday, October 27, 2015

NCHINI ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD NDIO MSHINDI HALALI WA URAIS WA NCHI YA ZANZIBAR KIPI KINACHO WAZUIA ZEC KUMTANGAZA RASMI......????


viongozi wakuu wa chama cha wananchi Cuf/Ukawa wanasema ikiwa tume ya uchaguzi ZEC Zanzibar itashindwa kutangaza ushindi wa Maalim Seif Shariff Hamadi au kubadilisha matokeo yake na kumtangazia Dr Shein, Basi wao wanaingia Barabarani na Wafuasi wao ili kusherehekea Ushindi wao na chochote kitakacho tokea ijuwe tume ndio itakayobeba lawama.

Katika takuimu halali za Maalim Seif (Cuf)za kila kituo zilizokusanywa na mawakala chini ya uwangalizi wa mawakala na International observers ,zinaonyesha wazi kua yeye ndio mshindi wa uraisi wa Zanzibar wa uchaguzi mkuu wa trh 25 October 2015 ziidi ya mpinzani wake Dr Ali Mohammed Shein(ccm).
mpinzani wake wa kinyanganyiro cha Uchaguzi Zanzibar Dr Ali Mohammed Shein (ccm) ameshindwa kupinga takuimu hizo za Maalim Seif mpaka sasa baadae viongozi wa ccm/smz wamekuja na hoja ya kupinga kwa Maalim Seif kuzungumza na wandishi wa habari ndani ya Makaa makuu ya chama chake cha(cuf) kwa kuwaeleza wandishi wa habari kutokana na Uchahidi wa takuimu za kila kituo zinaonyesha yeye ndie kaibuka mshindi wa Uraisi Zanzibar.

KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment