Sunday, October 25, 2015

NCHINI ZANZIBAR MAMBO YANAVYO ENDELEA UKUMBI WA SALAMA BWAWANI WANDISHE MBALI MBALI WA TV NA RADIO WAKISUBIRI KUTANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI


Ukumbi wa Salama Bwawani Usiku huu ukiwa katika hali ya kusubiriwa kutolewa kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar 2015. Waandishi wa Redio ya Chuchu FM wakisubiri kutangazwa kwa Matokeo kuweza kurusha moja kwa moja kutoka katika ukumbi wa Salama wakisubiri kutangazwa kwa matokeo hayo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar 2015.

Waandishi wa habari wa Kituo cha Utangazaji cha ZBC nchini Zanzibar wakiwa ukumbi wa Salama Bwawani kuripoti moja kwa moja kutoka ukumbini hapa kuwataarifu Wananchi matokeo ya Uchaguzi wa nchi ya Zanzibar.muda wowote yanaweza kutangazwa ukumbi hapo baadhi ya majimbo ya uchaguzi, yatatangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali wakisubiri kutangazwa kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu usiku huu na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.

Waandishi wa Habari wa Kituo cha Redio cha Swahiba FM wakiwa tayari kuripoti matokeo ya Uchaguzi kutoka Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar.
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment