Monday, October 26, 2015

NCHINI ZANZIBAR UKITAKA KUFUATILIA ZAIDI NENDA KWENYE LINK HAPO CHINI AU KOPI NA UANDIKE KWENYE GOOGLE UTAIPATA

Mnaweza kufuatilia matokeo ya Uchaguzi yanayotolewa na ZEC huko Bwawani kupitia kiungo hiki http://zectv.zec.go.tz/


Hali visiwani Zanzibar ni tete na hasa kutokana na uzoefu wa chaguzi zilizopita ishara zinatajwa kwamba huenda hatma ya visiwa hivyo ikawa ya mashaka. Msikilize chambuzi wa Kimataifa kutoka London bwana Ahmed Rajab.
Chanzo: DW

Ikiwa kura zinaendelea kuhesabiwa visiwani Zanzibar, Mohammed Khelef alizungumza na kamishna wa polisi Zanzibar Mkadam Mkadam kufuatia ripoti kwamba watu watatu wamepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya hapo jana.
Chanzo: DW

KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment