Friday, October 23, 2015

VIDEO-RAP ALIO IMBIWA LOWASSA-LOWASSA AAHIDI UPY MCHAKATO WA UTOAJI PESA YA BANDARI YA TANGA

Mtoto msanii awa kivutio Katika Mkutano wa Kufunga Kampeni za Chadema


WIMBO - LOWASA


BANDARI YA TANGA WAMEIWACHA MAANA WALIJUWA ITAWANUFAISHA WANANCHI LAKINI YA BAGAMOYO ITANUFAISHA VIONGOZI MAANA IKO KARIBU NA DAR NA NCHI YA ZAZNIBAR PIA NA PLANI HAPA NI KUIYUA KABISA BANDAR YA NCHI YA ZANZIBAR WAMESAHAU KUWA RIZIKI ATOWEA NI M.MUNGU NA SIO BINADAMU CCM SIO CHAMA CHA WANANCHI NI CHAMA CHA VIONGOZI NA MAFISADI NA WAUWAJI.

Lowassa Aahidi Kupitia Upya Mchakato Wa Utoaji Pesa Bandari Ya Tanga
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment