Saturday, October 24, 2015

VIDEO-USHAHIDI WAKUKUONYESHA WEWE MZANZIBARI VIONGOZI WANAO PENDA MADARAKA KAMA CCM JINSI WANAVYO ISHI UJUWE NA CCM VIONGOZI WAO WANAISHI KAMA HIVI AU ZAIDI YA HIVI

HAYA NDIO MAPESA NA MADHAHABU YA RAIS WA TUNISIA
BAADA YA KUFUKUZWA NA RAI WAKE WATU WALIPOINGIA
KATIKA NYUMBA ZAKE NA IKULU 
CHEKI MAPESA YA GADDAF YALIYO SHIKWA KATIKA KIJIJI CHAKE
CHEKI NYUMBA NDANI YA NYUMBA NDANI YA NYUMBA
GADDAFI NA FAMILIA YAKE WAVAVYO VURUGA PESA
VIDEO-HIZI NI VIDEO ZA USHAHIDI KUKUONYESHA WEWE MZANZIBARI KUWA UKIONA VIONGOZI WANANGANGANIA SANA MADARAKA BASI UJUWE NYUMA YA PAZIA HIVI NDIVYO WANAVYO ISHI WAO NA FAMILIA ZAO KISHA NYINYI RAI WANAWADANGANYA KUWA SEREKALI HAI PESA
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment