Thursday, April 28, 2011

DUUUUH KUMBE HATA NYERERE ALIJUWA KUWA IKO SIKU WAZANZIBAR WATAVUNJA MUUNGANO.

MSikilize nyerere anavyo watahatharisha watanganyika kuwa ZANZIBAR
IKIJITENGA TUU mujuwe muko mashakani ndio maana hawataki
MUUNGANO uvunjike maana inaonyesha wazi kuwa wao
hawawezi kuisha kwa salaam bila ya vita lakini wazanzibar
hawapendi vita ni watu wa AMANI NA UTULIVU
msikilize kwa makini jinsi anavyo watharau
WAZANZIBAR na VIONGOZI WAKE
MSIKILIZE KWA MAKINI
MUSISEME NAJENGA
CHUKI
NI
MATAMKO ANAYO SEMA MWENYEWE KWA MDOMO
WAKE.
PIA MSIKILIZE ANAVYOSEMA KUHUSU KUAPISHWA KWA
JILI YA KATIBA NA SASA MIGOGORO IMEJA KUHUSU HIYO
KATIBA ANYOSEMA KUWA WATU WAAPE KUWA WATAILINDA
KISHA JIULIZE JE ALIKUWA NA PLANI GANI HUYU?
UKIPATA JAWABU AMKA UITETE
ZANZIBAR
IWE
HURU

No comments:

Post a Comment