HUYU NDIYE JOHN OKELLO
ALIYE WAUWA WAZANZIBAR WENGI SANA 1964
PICHA HIZI AMEPINGWA BAADA YA KUWAUWA
WAZANZIBAR WENGI SANA NA KUWAHARIBU DADA
ZETU NA MAMA NA KUWALAZIMISHA KUWA ATI WEWE
KUANZIA LEO NI MKE WANGU UMESIKIYA WAPI MAMBO HAYA..?
HAPA NCHINI KWETU ZANZIBAR YAMETOKEYA NA KUIBIYA WATU MALI
ZAO NA MASHAMBA KUKATWA HEKA KILA MTU ZNZ AJUWE KAMA SHAMBA
KAKATIWA HEKA BASI ANAKULA HARAMU SIKU YA KIYAMA UTASEMA NINI..?
PIA WANASEMA WALIPINDUWA KWA MAPANGA NA MASHOKA JE HAPA KWENYE
HII PICHA DUNGU ZANGU MUNAONA PANGA AU SHOKA LOLOTE HAPA..?
NDIO MUJUWE KUWA ZANZIBAR TUMERUSHIWA CHANGA LA MACHO KILA WANACHO
SEMA NI UWONGO MTUPU NA UNAFIKI ILA KILA LENYE MWANZO HALIKOSI KUWA
NA MWISHO NA HAUKO MBALI TENA.
MBONA HAWAMTAJI WAKESHEREHEKEYA SHEREHE ZA MAPINDUZI NA YEYE NDIYE ALIYE PINDUWA..?
BAADA YA MAPINDUZI MZEE KARUME AKAMFUKUZA KIHEKIMA NA KUMUAMBIYA NENDA DAR NYERERE ANAKWITA ALIPOFIKA DAR NYERERE AKAMUAMBIYA HUTAKIWI TENA ZNZ NA HAPA TANGANYIKA PIA MAANA WEWE SIO RAI WA TANGANYIKA TOKA RUNDI ZAKO KWENU UGANDA AU TUTAKUFUNGA MAISHA NDIO MWISHO WAKE WA UBAYA NA HAKUPATA KITU ZNZ KAIWACHA PALE PALE.
No comments:
Post a Comment