Mshambuliaji wa timu ya Benki ya Posta Zanzibar, Yussuf Charles (kushoto) na Wahabi kutoka timu ya benki ya NMB nayo ya Zanzibar wakiwania mpira kwenye wanja wa Kendwa Rocks, Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja ambapo timu hizo zilitoka suluhu bila kufungana.Wafanyakazi wa benki ya EXIM, CRDB, NMB, DTB, KCB na Benki ya Posta iliyo ratibu Bonanza hilo walishiriki katika michezo mbalimbali kwa lengo la kuimarisha mahusiano yao.
UMASIKINI GANI HUU ULIYO IPATA NCHI YA ZANZIBAR HATA WACHEZAJI WA TIMU
ZA BENKI PIA HAWANA VIATU WALA JAZI ZA KUCHEZEYA MPIRA DUUUUUUUUH
No comments:
Post a Comment